Clip ya hii movie inatisha balaa.

Clip ya hii movie inatisha balaa.

hamna kitisho chochote hapo, kama ni reality unakuwa umeshamaliza kipande chako cha maisha
 
Movie hizo nimeangalia part zote. Mtu anajua vifo vyao vitakuaje kwa hiyo anajaribu kuwaonya wenzie maana yeye anakuwa ameshaona kabla haijatokea
 
Hizo movie ni balaa,waweza kuweweseka usiku.
 
Hhhahaha moja ya movie ninazozipenda na ninazo fumbaga macho yanapotokea action za hatari FINAL DESTINATION 1-5
 
Tafuta ila ajali ya barabarani ya magogo walahi hutoendesha chombo cha moto kama unamoyo mwepesi
 
Back
Top Bottom