Clinical officers training center machame

Clinical officers training center machame

romney mrutu

Member
Joined
Aug 19, 2016
Posts
67
Reaction score
32
Waliochaguliwa apo naomba tukutane hap kujuzana jnsi ya kupata joining instruction (ordinar diploma in clinical medicine)
 
Asant mkuu ila naomba unisaidie kuwa ntapataje joining instruction ya hapo
 
Wanajf anaejua au aliesoma cotc machame anijuze ntapataje joining instruction
 
Habari jamani, naomba kuuliza hivi,
Hivi inawezekana mtu aliyesomea Certificate in
community health kujiunga na diploma/certificate
in clinical medicine? msaada wa mawazo jamani
 
Habari jamani, naomba kuuliza hivi,
Hivi inawezekana mtu aliyesomea Certificate in
community health kujiunga na diploma/certificate
in clinical medicine? msaada wa mawazo jamani
We si ushaambiwa haiwezekani katika thread yako ama bado huamini?!
 
Bado siamini, kiukweli hivyo natafta mawazo ya walimu wenyewe walioko vyuoni kabisa pamoja na watu wa nacte
 
Back
Top Bottom