Clinical officer

Clinical officer

lord kelvin

New Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
2
Reaction score
0
Hey! Jamani nataka kujua kitu mm sijapita kuingia MD .lakini in form 6 leaver naombeni mnisaide .Nasoma advance diploma ya clinical officer au ordinary diploma ya clinical officer afu ndio naingia MD! Na kama ni hivyo vyuo gani no vizuri kwa hii fani???
 
Advanced diploma n kwa clinical officers,ww lazma uanzie kwenye ordinary diploma
 
Hey! Jamani nataka kujua kitu mm sijapita kuingia MD .lakini in form 6 leaver naombeni mnisaide .Nasoma advance diploma ya clinical officer au ordinary diploma ya clinical officer afu ndio naingia MD! Na kama ni hivyo vyuo gani no vizuri kwa hii fani???
Siyo Advanced Diploma ya clinical officer ni Advaned Diploma in Clinical Medicine (ADCM) , Siyo ordinary diploma in clinical officer bali ni Ordinary Diploma in Clinical Medicine (ODCM). kwa clinical medicine huwezi kusoma Advanced diploma yake kwa kuruka hata kama una As zote kwenye masomo tajwa lazima uanze na ODCM kwanza ndo ujiendeleze mpaka ADCM.
 
Back
Top Bottom