Clinical officer vs medical laboratory

jamani vipi kuhusu diagnostic radiograph? Anayeelewa anieleweshe basi
 
Hello Naomba kujua vyuo vya serikali vinavyotoa mafunzo ya uuguzi kwa ngazi ya cheti.nina mdogo wangu anapenda hiyo fani ana ufaulu wa Biology C ,Chem C,Math D,physic D,English D.

Naomba kujua na muda wa kufanya maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…