Mkurya mweupe
JF-Expert Member
- Aug 10, 2023
- 250
- 830
Zote hizo majanga tupu.. asome optometry, dental, Radiology au physiotherapy kama hataki hizo zote basi akabahatishe hiyo Clinical MedicineWana JF,
Naomba kuuliza kwa sasa course gani ni nzuri kati ya hzo kwenye soko la ajira maana ndugu yangu amechaguliwa clinical officer (Ndolage) na Medical laboratory Bugando. Ipi ni bora ukizingatia soko la ajira kwa sasa.Asanten
Zote hizo majanga tupu.. asome optometry, dental, Radiology au physiotherapy kama hataki hizo zote basi akabahatishe hiyo Clinical Medicine
Kama ana mpango wa kusoma clinical medicine mtaftie chuo cha private kizuri serikali GPA ndogo itamtesaWana JF,
Naomba kuuliza kwa sasa course gani ni nzuri kati ya hzo kwenye soko la ajira maana ndugu yangu amechaguliwa clinical officer (Ndolage) na Medical laboratory Bugando.
Ipi ni bora ukizingatia soko la ajira kwa sasa.
Asanten
Umemwambia ukweliZote hizo majanga tupu.. asome optometry, dental, Radiology au physiotherapy kama hataki hizo zote basi akabahatishe hiyo Clinical Medicine
Lab akasome hafi njaa ila kama anataka mawanda mapana mbeleni co itamfaa
Kama amechaguliwa Bugando mwambie aende ila akabadilishe asome diploma ya radiology atakuja kukushukuruWana JF,
Naomba kuuliza kwa sasa course gani ni nzuri kati ya hzo kwenye soko la ajira maana ndugu yangu amechaguliwa clinical officer (Ndolage) na Medical laboratory Bugando.
Ipi ni bora ukizingatia soko la ajira kwa sasa.
Asanten
Hiyo physiotherapy wigo wake n mdogokati ya hizo mbili.......kidogo clinical medicine(kidogo....narudia)
ila ningekuwa mimi hapo nisingesoma hata moja ila ningechagua kati ya machaguo yafuatayo
1. Radiology
2.phythiotherapy
3.Dental
4.Optometry(kichas)
5.Nursing
Ikikufaa.....zingatia........ASANTE
Fuata huu ushauri kama ni lazima asome Clinical Medicine,ila mwambie ajiongeze watoto wengi wa private weupe.Kama ana mpango wa kusoma clinical medicine mtaftie chuo cha private kizuri serikali GPA ndogo itamtesa
Hujui boss tuliaHiyo physiotherapy wigo wake n mdogo