Kwa nijuavyo mimi namba 5 Baada ya mtu kupata diploma ya nursing ni ASSOCIATE'S DEGREE IN NURSING(ADN), BACHELOR'S DEGREE IN NURSING-BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING(BSN) HARAFU MASTER'S OF SCIENCE IN NURSING(MSN)DEGREE, KISHA NI DOCTORATE DEGREE IN NURSING AMBAYO NI HIGHEST KAMA SIJAKOSEA.
Jamani mi nilikua naomba ushauli.nilituma maombi ktka chuo cha eckernforde tanga university coz ya clinical medicine.selection zimetoka nimechaguliwa.nilisha wahi kusikia kua chuo hicho kilikua na tatizo la usajili katka coz za afya.hvyo nilikua naomba ushauli kuhusu tuhuma hzo ili nifaham ukwel.
Hey Dr.
Nime Htm F4 Last Year Nime Pass.
Lakn Wengne Wananishaur Kupga Afya Ngaz Ya Diploma Kulko Kutinga Advance,
Vp Mnanishaulije?
"1)clinical officer ngumu kuliko nursing
2)ajira ziko awa kama msemaj wa kwanza alivyosema
3)clinical officer na nurse mshahara sawa ila kama nurse na yeye ana diploma,ila alwayz clinical officer ni bos hata kama nurse ana degree
4)weng wanapenda clinical officer kwasababau ni njia yakwenda kusoma medicene doctor,pia mshaharea mzuri
5)nurse uwezo wa kusoma degree anao,kama za uongoz katika afya,na nurse yenyewe,na vyuo vingne wanakubaliwa hata kusoma pharmacy
kwa ushaur wangu soma clinical officer ni multipurpose,pia uwezo wa kujiajir unakua nao mkubwa
endelea na advance kaka achana na pesa za haraka wew joo advance uongeze maarifa ili update kichwa chako
Clinical officer na kadiploma kake awe boss kwa nurse hata mwenye degree!! Kwanza Nursing na medicine ni professions mbili tofauti. Boss wa nurse ni incharge ambaye nae ni nurse. Mawazo yako mkuu ni kwa sababu ya kukurupuka, hebu nenda hospital kubwa kama Muhimbili uone mambo yalivyo,kila mtu anafanya wajibu wake. Kazi za daktari zinajulikana na anapaswa kuzifanya yeye na kazi za nurse zinajulikana nae atafanya kwa nafasi yake1)clinical officer ngumu kuliko nursing
2)ajira ziko awa kama msemaj wa kwanza alivyosema
3)clinical officer na nurse mshahara sawa ila kama nurse na yeye ana diploma,ila alwayz clinical officer ni bos hata kama nurse ana degree
4)weng wanapenda clinical officer kwasababau ni njia yakwenda kusoma medicene doctor,pia mshaharea mzuri
5)nurse uwezo wa kusoma degree anao,kama za uongoz katika afya,na nurse yenyewe,na vyuo vingne wanakubaliwa hata kusoma pharmacy
kwa ushaur wangu soma clinical officer ni multipurpose,pia uwezo wa kujiajir unakua nao mkubwa
clinical medicine diploma wanalipwa kiss gani?watakujuza