Clinical Officer- NATAFUTA KAZI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Clinical Officer- NATAFUTA KAZI

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Madoido, Jun 20, 2011.

 1. M

  Madoido Senior Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hey wadau!

  Mimi ni msichana miaka 27 nipo dar, ni proffesional CLINICAL OFFICER-Graduated in Kenya...wenye hospitali au dispensary kama mnahitaji nipigie au sms-0719 575791

  Thanks
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  ngoja nikupigie bibie
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Appy mkapa foundation

  wanaitaji clinical officer wengi but naona wameziondoa kwenye site yao deadline end of this month
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kama unaweza nenda Botswana mnahitajika sana nyie wenye fani hizo.
   
 5. M

  Madoido Senior Member

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau nashukuru sana kwa msaada wa ushauri mwema....APPY MPAKA FOUNDATION..naomba hiyo website yao.....JF MBELE DAIMA
   
 6. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,035
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Kazi katika sekta ya afya sio za kutafuta bali zenyewe ndo zinatafua watu, nenda wizara ya afya wakakupangie kituo kama kweli unasifa achana na vizahanati uchwara utakufa njaa
   
 7. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  duh yaani siku hizi bongo hata watu wa medical field wanatafuta kazi??
   
 8. m

  matambo JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  umesema uligraduate wapi vile.....??? kenya eeh?? ndio maana umejibu hivi haya
   
 9. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kijana unahospitali?
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mh! umesema ulisoma chuo gani vilee?
   
Loading...