Clinical officer natafuta kaz

Clinical officer natafuta kaz

clarise

Member
Joined
Sep 7, 2018
Posts
9
Reaction score
1
Wapendwa naomba msaada kwa yyt anaefaham,Mimi nimemaliza clinical officer ,n binti nna miaka 24,nko singida natafuta Kaz kwenye hospital,NGOs,health centre au dispensary
 
Kuna tangazo limeliona la hospitali inaitwa Kintoka Medical Centre ipo Mbagala kama unawhatsapp ni pm nikurushie tangazo lao, wametoa nafasi kama 30 hiv za nafasi mbalimbali. Kama hauhitaji 🙋🙋🙋🙋 ihusike
 
Jamani nami naomba email address ya hai jamaa nami Ni apply
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom