Ambaye hataki kufuata nilichosema aache!
Watanzania watu wa ajabu sana, kitu hata hujakijua unaanza kuwazia negatives kuhusu unachoambiwa.
Tunashindwa kuendelea kwa sababu huwa hatuna courage (uthubutu) - huwa tunaogopa kujitoa mhanga bila kujua kwamba "THE SUN ALWAYS SHINES FIRST TO THOSE WHO STOOD UP FIRST BEFORE IT SHINES TO THOSE WHO KNEEL UNDER THEM". Baadaye unakuta mtu anasema "NINGEJUA!" Ungejua?!
Unakuta mtu analipwa laki mbili anaambiwa kuna kazi (ambayo labda kama akiwa na uthubutu wa kuifuatilia anaweza kujikuta analipwa laki sita kwa mwezi) na labda kazi yenyewe haina pressure halafu eti mtu anaogopa.
Mungu tusaidie waTanzania, woga wetu nd'o umasikini wetu!