fatma kimambo
Member
- Sep 2, 2016
- 42
- 16
Naomba kuuliza et mtu akisoma certificate Ya pharmacy anaweza kusoma diploma in clinical medicine???
Hapana haitawezekana ukianza na ufamasia sharti umalize nao ndio utaratibuNaomba kuuliza et mtu akisoma certificate Ya pharmacy anaweza kusoma diploma in clinical medicine???
AsanteniHapana haitawezekana ukianza na ufamasia sharti umalize nao ndio utaratibu
Atasoma diploma ya pharmacy si Clinical Medicine
Naomba kuuliza et mtu akisoma certificate Ya pharmacy anaweza kusoma diploma in clinical medicine???
Yaani nimehic raha Ya ajabu wallahNamshauri aendelee n pharmacy,atamuacha daktari kwa mbaaali kwenye maslahi
Mkuu famasi inalipa. MD ni title tu mtaani.Yaani nimehic raha Ya ajabu wallah
miruz mingi humpoteza mbwa.....MD inalipa hao wanaokushauri ni wafamasia...mie nipo neutralYaani nimehic raha Ya ajabu wallah