Clinical medicine na diploma ya pharmacy

Clinical medicine na diploma ya pharmacy

STALLEY

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
622
Reaction score
219
Habari wakuu naomba ufafanuzi hizi ipi ina fursa nyingi katika ajira na pia ipi nirahisi kujiendeleza hapo baadae kama mtu ukitaka kujiendeleza na ipi ina mshahara mzuri .naomba kuwasilisha nategemea majibu yenye kujenga
 
Wakuu naomba wenye maujuzi wayatupie hapa
 
pharmacy inalipa,achana na u c.o,take it from me.
 
Chukua CM kwakuwa una weza kusoma MD kama utafanya vizuri class na job op ni kubwa
 
Kujiendeleza ni juhudi yako tu,ukifaulu vizuri utakubalika tu.
 
Hajakudanganya ndivyo ilivyo labda udom sio MUHAS, MUHAS wanachukua co wachache sana
 
hiyo diploma ya phamarcy wanachukua o level? Unijuze namie basi.
 
Back
Top Bottom