Ajira hakuna! Cha kufanya chagua unacho penda! Labda CO inaweza kua poa!
Nje ya mada...
Hivi taratibu zikoje mtu aliye somea diploma ya medicine akitaka kwenda kusoma degree? Nakumbuka walikua wanasumbuliwa sana.
Kama una nia ya kuja kusoma degree kwann usiende form6?