Cleverland Cavaliers

Geechie

JF-Expert Member
Oct 26, 2015
977
761
The first player to play six straight NBA finals since 1966.....who let tha dog out....King Lebron
Huyu jamaa ni mnyama,kikapu kilichopigwa Leo sio cha kawaida japo kijana Lowry alikuwa anajaribu kuwarudisha mchezoni Toronto kwa uwezo wake WA mirusho ya 3 points ila kina Love,Le Bron Leo wamekichafua Ile,tusubirie kesho kama Golden state wata come back au ndio itakuwa Okc vs Cleveland
 
Weka wakati wa iyo mechi, sio kama wote tunafuatilia lakini wengine tumebahatika kua tunapenda michezo, tunaweza kuangalia kwa sababu ya ushawishi wako, sijawahi kuangalia mchezo wa mangumi, kutokana na ushawishi wa watu niliangalia kati ya my wheather na man paqiao
 
Back
Top Bottom