clever picture!!

NG'ADA

Senior Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
152
Reaction score
15
kidogo inataka ujanja...ukiitazama.
 

Attachments

  • leo.jpg
    28.7 KB · Views: 117
  • leo.jpg
    25.7 KB · Views: 262
Lengo la picha yako ni nini?
 
Mkuu hiyo picha ni kama imebandikwa usawa wa bomba la moshi wa hilo basi. Hiyo ni mitaa ya Oslo kama kumbukumbu zangu ziko sahihi ni mitaa ya Nasjonalteatret (National Theater) kwa mbali naona jengo kama la mfalme vile na winter (snow) bado imekomaa. Na hiyo statement hapo "Klar å slutte? Ni sawa na kuuliza "Je uko tayari kuacha? Sio basi la magamba hilo wadau!!!!!
 
kaka asante sana..watu kama nyie ndio great thinkers...kuna watu wasipoelewa kitu basi wanaita ni upuuzi...sio sawa.
 
mbona inaeleweka labda kama hujui lengo la hii safu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…