hata mie nashangaa!Lengo la picha yako ni nini?
Mkuu hiyo picha ni kama imebandikwa usawa wa bomba la moshi wa hilo basi. Hiyo ni mitaa ya Oslo kama kumbukumbu zangu ziko sahihi ni mitaa ya Nasjonalteatret (National Theater) kwa mbali naona jengo kama la mfalme vile na winter (snow) bado imekomaa. Na hiyo statement hapo "Klar å slutte? Ni sawa na kuuliza "Je uko tayari kuacha? Sio basi la magamba hilo wadau!!!!!