Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,466
Huwa nikimuona huyu mzee, all i see is power, wisdom and wealth. Jamaa ni moja kati ya strongest, wisest, strategical and ethical statesman our Republic has ever had. Jamaa ametulia sana, ana busara na hekima nyingi - ni mtulivu (lowkey) by nature na ana kipaji cha uongozi. He has been a confidant to almost all our presidents in the downlow. Yani Marais wetu wao wenyewe wana vibifu vyao lakini the one thing they all have in common ni kuwa they all seek advise from Cleopa David Msuya. Apart from mambo madogomadogo ya kibinadamu ambayo kila mtu anayo Cleopa Msuya is a rare kind of a leader. Ni role model to all current and future leaders and an archtype of a true statesman. Nakiwa mkubwa nataka nije kuwa kama huyu mzee!
Viva Cleopa Msuya, Viva!
Marehemu Sokoine alishamfungia safari na kikosi maalum cha mgambo wa mikingamo,Nyerere akamwambia atulize boli.Hii nimesikia juu juu,sijui kama ni kweli.Mkuu Geophysics unanisifia bure sina sifa wala hela ya kuwa mtoto wa huyu Mzee.
Huyu Bwana aliwahi kuwa Waziri Mkuu. Nikiangalia mawaziri wakuu wetu na madudu wanayofanya. Nikaangalia na viongozi wetu wa siku hizi (kina Chenge na EL) huyu jamaa ni msafi na mwadilifu. Hayo machache mliyotaja ya kujenga kwao niambieni kama kuna rais au waziri mkuu yeyote ambae hakufanya? Nyie wenyewe given the chance mtajenga kwenu.
Issue ya kuwa tajiri ni unavoidable kwa mtu aliyekuwa waziri mkuu na waziri for more than 30 years. Whats important ni utulivu na uadilifu. Hebu mlinganisheni na statesmen wengine kama EL, Chenge, Pinda, Mwinyi, Kikwete nk. Jamaa hana any major scandals kama mzee Mkapa, Yona, Mramba (those are his peers).
Mkuu Geophysics unanisifia bure sina sifa wala hela ya kuwa mtoto wa huyu Mzee.