Cleopa Msuya, Mustafa Mkulo wote sawa tu!

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,006
2,166
Hawa mawaziri wa fedha sijui wakoje. Laana gani tunayo wa-Tz kukosa mawaziri wenye hekima? Mbona wanajisahau kana kwamba hawako Tanzania? Haya Pinda uko wapi baada ya kuhangaika na Magufuli?

Msuya aliwahi kutuambia kwamba kila mtu abebe mzigo wake. Mkulo naye sasa anasema kila mtu atakula jasho lake. Similar language.

Hii huwa ni dalili ya kupata pesa ya bure na kuwasahau wanaokulisha. Kwa Msuya aliota kiburi baada ya kupata rushwa za akina COGEFA. Huyu Mukulo lazima naye sasa aangaliwe kwa makini ingawa sijui kama alistahili kurudishwa kwenye uwaziri.

Wengine mutasema 'GO TO HELL!" kama Malecela, lakini nadhani ni ishara mbaya kwa Waziri.
 
Na Mramba naye alipokamata hiyo wizara akasema "Wananchi wako tayari kula nyasi ili ndege ya rais inunuliwe"
 
Hawa mawaziri wa fedha sijui wakoje. Laana gani tunayo wa-Tz kukosa mawaziri wenye hekima? Mbona wanajisahau kana kwamba hawako Tanzania? Haya Pinda uko wapi baada ya kuhangaika na Magufuli?

Msuya aliwahi kutuambia kwamba kila mtu abebe mzigo wake. Mkulo naye sasa anasema kila mtu atakula jasho lake. Similar language.

Hii huwa ni dalili ya kupata pesa ya bure na kuwasahau wanaokulisha. Kwa Msuya aliota kiburi baada ya kupata rushwa za akina COGEFA. Huyu Mukulo lazima naye sasa aangaliwe kwa makini ingawa sijui kama alistahili kurudishwa kwenye uwaziri.

Wengine mutasema 'GO TO HELL!" kama Malecela, lakini nadhani ni ishara mbaya kwa Waziri.
Hata Mramba alisema alisema ndege ya rais itanunuliwa hata kama wananchi watakula majani. Kuna ukweli kwenye topic yako japokuwa kwa level tofauti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom