Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Clemence Mwandambo: Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana, watu waoishi kwa kodi zetu kwa ndio wamekuwa wanatunyanyasa, wewe fikiria afisa mtendaji tu anajisikia boss lakini anaishi kwa kodi zetu, walimu nao Polisi kuanzia Uniform zao, bunduki hadi mshaara ni kwa sababu ya kodi ya wananchi
Lakini ndio wamekuwa maboss na kunyanyasa wananchi ambao ndio mabosi
Lakini ndio wamekuwa maboss na kunyanyasa wananchi ambao ndio mabosi