PostGE2025 Clemence Mwandambo: Nimempigia Kura Samia, Familia yangu haikushiriki maandamano Oktoba 29, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Mwanamitandao Clemence Mwandambo amesema amekuwa akitumia video anazochapisha mtandaoni katika kuwashauri wanasiasa na kuwasilisha mawazo yake, lakini mara nyingine wanasiasa wamekuwa hawataki kuambiwa mawazao tofauti na wakiambiwa hivyo wanaona kama wanaowaambia wana kiburi.

"Kwa bahati mbaya sana tuna wanasiasa machifu hawataki ni watu ambao hawataki kusikia wazo kinyume na wanavyofikiri wakiona unatoa wazo kinyume na wanavyofikiri wanakuona kama una kiburi"

Ameeleza kuwa kutokana na kuwa hayupo kwenye mfumo wa kufanya maamuzi serikalini yeye video zake ndiyo njia ya kufikisha ujumbe.

"Mimi sipo kwenye 'system' ya serikali lakini nikipaza sauti kupitia simu labda naweza nikasikika lakini wanakua hawaamini maoni yangu" ameongeza Mzee Mwandambo


Your browser is not able to display this video.
 
Duh!!
 
Milioni 50 alopewa ndo inaanza kufanya kazi
 
Hahahahahaha asubiri matusi ss kutoka kwa wanaoamini kwenye kutukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…