Clearing Agent
New Member
- Jun 28, 2019
- 2
- 92
Kuvusha kontena Tunduma la mawe kama Mn ni beigani?Mr Sabi
Laki saba tu boss kila kitu
Mn ni manganese mkuuHujajibu mawe gan au manganese???
Swali langu lingine ni je Kuna kanuni yoyote ambayo mfanyabiashara anaweza kuitumia ili kutabiri kodi za bandari kabla mzigo haujaanza kusafirishwa?Km unaswali jingine uliza
Mfano:Unalipa ushiru kutokana na thamani ya gari lako au mzigo wako na unalipa hizo gharama basi mali inatoka
Shipping line Charges - ni ipi hizi si zimeondolewa >??Uzi unajielezea
Hazijaondolewa boss, zimepunguzwa baadhi ila ili kupata Delivery order ya mzigo wako lzm ulipie ndio unapewa. So imebaki hyo tu ya Delivery order
Unaitwa nani?Asante boss, klb sana, save no kbs 0653953900 ili ata mtu akihitaji msaada chap unampa no.
Ahsante kwa majibu lkn kama ungesema cvr ya zamani ni tsh.....Honda CVR ile ya zaman au hizi mpya? Maana kila moja na bei yake but pia ukiagiza gari wale waliokuuzia wanakutumia email ambayo itaonesha gari lako limebebwa na meli fulani na tar ya meli hyo kufika kwny bandari husika ambapo unashushia gari yako. Kk unaswali tena kalibu
Jamaa anashangaza kweli hata kwenye simu yake hajibu, nafikiri alipojua ushuru wa magari 2,3 akakurupuka kuleta tangazo.Kimyaaa
Asante mkuu nitakutafuta.Boss kwa haraka haraka itakua 750k, kupiga hizi hesabu naitaji zaid CBM za gari husika kuliko ata CIF yake ila apo nimepiga kwa kuangalia ushuru wake unatoka sh ngap so nikatumia uzoefu, aina hii ya BIANTE ni aina mpya kwangu ila sio kesi klb tufanye kazi, no ya kila kitu hii 0653953900 .