Clearing agent anahitajika

Inkotanyi 94

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,244
Reaction score
4,030
Nahitaj mtaalam wa kunikokotea gharama halisi za gari kuliingiza bara lililokwishasajiriwa Zanzibar.
 
Kwa mahitaji yako ya clearing and forwarding piga 0715521225. Fast, Efficient, Reliable.
 
Kumbe zanzibar ni nchi nyingne ukinunua kitu kuleta huku hadi ulipie
Daah muungano wa magumashi..
 
ni kweli ile ni nchi inayojitegemea na tanganyyika ni nchi inayojitegemea hakuna cha muungano wanatuzuga hawa viongozi mm nilinunua vitenge na khanga nikatoa ushuru yaani shidaaa tupu
Kumbe zanzibar ni nchi nyingne ukinunua kitu kuleta huku hadi ulipie
Daah muungano wa magumashi..
 
Nashukuruni kwa mchango wadau na nimewasiliana na mmojawetu. Zanzibar na Tangayika mbalimbali
Fikiria gari ililipa ushuru na kupewa registration kwa mil 1.52. Lakin kuileta bara unalipa nyongeza karibia mil 4.
 
ndio maana mimi binafsi siutaki huo muungano wa kizushi
 
ndio maana mimi binafsi siutaki huo muungano wa kizushi

Nakuunga mkono mkuu. Mbaya zaid huwezi kuja na gari lako toka zanzibar had Tanganyika kwa hali yoyote ile! Wakat gari lenye usajiri wa nchi nyingine unaingia na kutoka bila vikwazo kwa kufata sheria rafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…