Inkotanyi 94
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,244
- 4,030
Nahitaj mtaalam wa kunikokotea gharama halisi za gari kuliingiza bara lililokwishasajiriwa Zanzibar.
duh wajomba wengi humu!Nahitaj mtaalam wa kunikokotea gharama halis za gari kuliingiza bara lililokwishasajiriwa zanzibar.
Nahitaj mtaalam wa kunikokotea gharama halisi za gari kuliingiza bara lililokwishasajiriwa Zanzibar.
Kumbe zanzibar ni nchi nyingne ukinunua kitu kuleta huku hadi ulipie
Daah muungano wa magumashi..
ndio maana mimi binafsi siutaki huo muungano wa kizushiNashukuruni kwa mchango wadau na nimewasiliana na mmojawetu. Zanzibar na Tangayika mbalimbali
Fikiria gari ililipa ushuru na kupewa registration kwa mil 1.52. Lakin kuileta bara unalipa nyongeza karibia mil 4.
ndio maana mimi binafsi siutaki huo muungano wa kizushi