Claudio Marchisio

Messi Lionel

Senior Member
Jan 11, 2018
170
159
....JUVENTUS TURIN au kibibi kizee cha Turin,,Waitaliano halisi kwa lugha yao wana Nicknames 4 zinazoitambulisha timu yao pendwa Juventus Turin...
Bianconeri(the Black Whites)
L'Zebre (The Zebras)..La Vecchia Signora(The old Lady) na La Fidanzata D'Italia(The Girlfriend of Italy)...
Hili ni chama ambalo Linasadikika kuwa ndilo chama lenye mafanikio makubwa ndani ya Italia..lakini ni chama lenye mashabiki wengi ndani ya Italia..
Kibibi kizee cha Turin ni kama Mtambo wa uzalishaji wa mafanikio ya Timu ya Taifa ya Italia na soka lao kwa ujumla kwani Mihimili ya timu ya Taifa kwa idadi kubwa wamekuwa wakitoka Juventus.
Mafundi kama Allessandro Del Pierro,Fabio Canavarro,Ciro Ferrara,Mauro Camoranesi,Gianluigi Buffon,Giorgio Chiellini kwaujumla wao ni alama za
Juventus..

Bianconeri imekuwa Giant katika soka la Italia hata baada ya kashfa ya upangaji wa matokeo ya Serie A maarufu kama Calciopoli Scandal kutokana na Mfumo wao bora wa uendeshaji wa Timu..
Kuna viungo mafundi sana waliowahi kuitumikia Juve kwa mafanikio sana katika miaka yote ambayo Juve imekuwa ikisumbua..
Kwa macho yangu niliwaona live viungo kama Andrea Pirlo,Mauro Camoranesi,Edger Davids,Arturo Vidal,Paul Pogba,Miralem Pjanic,Patric Vieira n.k...

Lakini Katika majembe wote hao kuna Shujaa mmoja haimbwagi sana midomoni mwa Mashabiki wa soka..
Subiri kidogo,"Jamaa mmoja kwa jina Maurizio ni Muitaliano huwa anamiliki Ticket za msimu mzima(A Season-Ticket Holder) katika uwanja wa Juventus(Juventus Stadium) aliwahi kusema Akikosekana Marchisio Claudio katika mechi za Juventus ni sawa na KUAMUA KUTOKA MTOKO NA WASHIKAJI JIONI HALAFU YULE MDAU AMBAYE MLIKUWA MNAMSUBIRI KWA HAMU NAYE AWEPO KWENYE MTOKO AKAKOSEKANA" Ndivyo inavyokuwa anapokosekana Claudio..

Kama Ilivyo Paolo Maldini(AC M),Steven Gerrard(Liverpool),Paul Scholes,Gary Neville,Ryan Giggs(ManUtd),John Terry(Chelsea),na Francisco Totti(ASRoma)..Basi Claudio Marchisio alizaliwa jijini Turin miaka 31 iliyopita January 19 katika familia ya watoto wa 3 wa Mzee Antonio Marchisio ambapo Familia yote ni mashabiki wa Kutupwa wa Juventus..

Marchiso alifanikiwa kujiunga na Elimu ya Mafunzo ya ufundi stadi(Vocational Training) kama bongo ilivyo VETA na alijikita katika Elimu ya Upimaji Na utathimini Ardhi(Surveyor)..Lakini alikuwa kuacha chuo(Drop out) na kuwekeza kwenye ambalo kwa kiasi kikubwa limemtoa sana..

Akiwa ndio Second Vice Captain(Nahodha msaidizi wa 2) nyuma ya Giorgio Chiellini na Mkuu Gianluigi Buffon Marchisio anauwezo mkubwa sana wa kucheza nafasi ga kiungo wa Kati(Central Midfielder),Kiungo mkabaji(Defensive Midfielder) lakinj vilevile kiungo Mshambuliaji (Offensive Midfielder) wao Waitaliano wanaiita nafasi ya TREQUARTISTA lakini Makocha wengi kma Ciro Ferrara,Fabio Capello,Antonio Conte wamekuwa wakimtumia Marchisio Kama Central Mid na Defensive Mid...
Kutokana na Uwezo wake wa kukaba,kuiunganisha safu ya ulinzi na ushambuliaji(Purely Box-to -box Midfielder),anapiga mashuti ya mbali nje y box(Shot from long range),uwezo wa kuusoma mchezo(Ability to quickly read the game)..

Jamaa amekuwa akihesabika kama Moja kati viungo bora sana wa Juve na Timu ya taifa Azzurri..
Ameichezea Juve na Azzuri katika ngazi zote za umri huku akishiriki michuano kama Kombe la Dunia 2010&2014..Euro 2012..Confederations 2013..
Lakini vile vile ana vikombe 6 vya Serie A maarufu kama Scudetto..
Kwa kipindi cha hivi karibuni amekuwa akisumbuliwa na majeraha ya misuli..

Lakini kati ya trio bora nilizowahi kuziona katika viungo ni ile ya Arturo Vidal,Claudio Marchisio na Andrea Pirlo..juu yao Paul Pogba..juu kabisa Carlos Alberto Tevez na Alesandro Matri..
Huyu ndiye Claudio Marchisio..Mzaliwa Juve..Mfia Juve..Damu Juve..Kipenzi cha Washabiki wa Juventus maarufu kama Juventino..

[HASHTAG]#footballaddicted[/HASHTAG]
 
Claudio Marchisio " Mtoto wa Nyumbani" ni mmoja wa viungo bora waliokamilika.

Licha ya kutokuwa na kipaji, lakini sifa yake kuu ni mpambanaji awapo uwanjani. Mara nyingi hujituma zaidi ya uwezo wake.

Kupambana kwake ndani ya uwanja kunatoa nafasi kwa wachezaji wengine kung'aa kama nyakati flani akina Pogba na Pirlo walivyokuwa wanang'aa nyuma ya kivuli cha Marchisio na Vidal.

Kwangu mimi namuweka kwenye kundi moja na akina Ji Sung Park, Fernandinho, De Rossi na hata Ramires.
 
Mkuu angeiona Gang Chomba, Mourinho, juve2012, @viper,pachanya, myao wa tunduru na dada everlenk
Claudio Marchisio " Mtoto wa Nyumbani" ni mmoja wa viungo bora waliokamilika.

Licha ya kutokuwa na kipaji, lakini sifa yake kuu ni mpambanaji awapo uwanjani. Mara nyingi hujituma zaidi ya uwezo wake.

Kupambana kwake ndani ya uwanja kunatoa nafasi kwa wachezaji wengine kung'aa kama nyakati flani akina Pogba na Pirlo walivyokuwa wanang'aa nyuma ya kivuli cha Marchisio na Vidal.

Kwangu mimi namuweka kwenye kundi moja na akina Ji Sung Park, Fernandinho, De Rossi na hata Ramires.
Hapa ndio thamani ya pogba ilipopanda. Ucheze na maesto Andrea pilo, Arturo Vidal na marchisio afu uwe flop! Lazima ung'ae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom