Classmate wangu kaniharibia weekend yangu

Tarime one

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
2,246
Reaction score
1,742
Jioni hii narejea home nikaona nipitie mlimani city kumnunulia wife wine aipendayo ili nikitoka namwacha na yeye akisuuza koo,nikiwa najiandaa kutoka baada ya manunuzi nikijiandaa kutoka nikashikwa bega na mkona laini huku ukilitaja jina langu, kugeuka nakutana na mdada tuliesoma nae ikizu sec kawa mmama but still yuko beautiful, coz ni siku nyingi tuksjikuta tumekumbatiana kwa furaha na akanichumu ilikua furaha ni siku nyingi sana zaidi ya ten years, tukatafuta sehemu tukakaa na kupeana habari za hapa na pale.

Because time zilikuwa zimesonga tukabadilishana no and then akanihug tukakubaliana tutafutane Jumapili tukaagana, nikarejea home nijiandae kutoka,ile nafika home wife ananipokea nikashangaa sio kawaida yake kuniangalia sana, nimezoea kukaribishwa na kupewa pole ya kazi na kushukuru kwa nilichomletea, nikauchuna tukaongozana ndani ile kutua mzigo tu maswali yakaanza eh mwenzangu hiyo rangi ya kike shavuni imetoka wapi?

Huo unywele kwenye shati lako vp?dah! nikaduwaa nikajaribu kujitetea na kumwambia story nzima naona hanisomi kabisa ni full kunyamaza na kutoa chozi yani hata hamu ya kutoka iimekata, ila simlaumu yule dada najilaumu mwenyewe kwa kutojikagua baada ya kuachana nae,weekend nimeianza mbaya.
 
Pole mdau ya kawaida hayo yaan cyo issue kabisa kwa mtoto wa kiume.
Angalizo; usikubali kosa.komaa

Ila sijafanya kosa ila mama yoyo kashindwa kunisoma.
 
mshaanza....a.k.a wazee wa matukio..
[h=3]Sorry d nilikua nachat na rafiki yangu[/h] Started by Tarime one, 21st September 2014 16:46

[h=3]Hivi ukiwa na mpenzi kama huyu unafanyaje[/h] Started by Tarime one, 25th September 2014 15:30

haya weekend njema...
 
Kuna vitu vinachekesha as if mazuri yani nimejaribu kujenga hiyo picha jinsi ulivyokuwa na mate wako afu pia ulivyokuwa unamueleza mkeo. Yaani inaonekana ulikuwa unatia huruma. Pole sana Bro ukweli humuweka mtu huru nafsi yako haina hatia hata hakifanya uamuzi mgumu Mungu anaujua ukweli na hakika utashinda tu. Ukweli huwa haufichwi ila unacheleweshwa tu.
 
Last edited by a moderator:
Ukiwaendekeza hao kina mama toyo maisha yatakuwa magumu sana.
 
Umeoa lini?
Una michepuko mingapi?


............ usiku mwema
 
Dunia imebadilika, hata Wakurya mnajua kubembeleza na malavidavi...

Nilipokuwa Tarime sikuwahi kusikia maneno "karibu" "ahsante" "nakupenda"

Back to topic: Piga maghoti Tata umubembeleze Mama Bhoke umeharibu Tata
 

Kumbe umelima sana Chamtigiti!!
 
Umeoa lini?
Una michepuko mingapi?


............ usiku mwema

Asili yangu inaniruhusu,even nikiwa nao 3,4,........as far nina uwezo wa kuwahudumia no problem,
Nawe usiku mwema.
 
Dunia imebadilika, hata Wakurya mnajua kubembeleza na malavidavi...

Nilipokuwa Tarime sikuwahi kusikia maneno "karibu" "ahsante" "nakupenda"

Back to topic: Piga maghoti Tata umubembeleze Mama Bhoke umeharibu Tata

We hujui huyu mama bhoke katokea milimani kibosho nddio maana anajua kubembeleza hana makuu mtoto wa watu ila kwenye hela Hahahahhh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…