janaina idd
Member
- Sep 15, 2017
- 10
- 2
HahaM naona beekeeping n bora
Afadhali umeliona hilo, ni sawa na kuuliza upishi na udereva kipi bora.Mimi sina jibu naona kama hivi vitu viwili ni incomparable
ππππππππAfadhali umeliona hilo, ni sawa na kuuliza upishi na udereva kipi bora.
Kwa hiyo achague programme kwa kuangalia kitu fulani kimetengenezwa na nani?Unajua hata lami uliyokanyaga leo imetengenezwa na injinia??
Unajua hata hiyo simu unayotumia imetengenezwa na injinia???
Nesi hatibu mkuu. Unajua tofauti ya nesi na dokta?Kwa hiyo achague programme kwa kuangalia kitu fulani kimetengenezwa na nani?
Vp na manesi wakija kumwambia "unajua injinia anatibiwa na manesi".