civil vs electrical engineering

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,291
Reaction score
6,693
wakuu naomba kujua kati ya hizi kozi mbili ni ipi inasoko sana.pia ningependa kujua katika kusoma hizi kozi mbili ipi ina changamoto nyingi.
 
wakuu naomba kujua kati ya hizi kozi mbili ni ipi inasoko sana.pia ningependa kujua katika kusoma hizi kozi mbili ipi ina changamoto nyingi.
Zote ziko sokoni, inategemea pia na ipi unayoipenda kati ya hizo na Malengo yako ya baadae.
 
sio mtaalamu sana kwenye ayo mambo ila naona kama civil iko poa kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…