Civil Engineers from UDSM

Status
Not open for further replies.

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
8,089
Reaction score
15,071
Kama kuna Civil Engineers kutoka UDSM inbox me ur number fasta....aliyegraduate between 2011 na 2013.....
Wahi fasta nafasi ni 4 tu.......
 
Jamani wengine ni wa Ardhi...... nikuinbox mkuu??
 
Full time mkuu....

Hawa investor wanataka wa UDSM sijui kwa nini!!!
Ni international company unaweza kwenda nje kupiga mzigo.....
Mw mwenyewe nazitaman ila ndio hvyo vigezo vmentupa kapuni....
 
Hao investors wa wapi wanakutuma wewe utangaze hapa Jf.We unadhani Engineering ni kama maji unachota tu mtoni.Toa matangazo rasmi sio kuchukulia taaluma za watu kirahisrahis.Sitashangaa kukuta wewe ni mzururaji nchini kwako huna kazi.
 
Endelea kutoka povu mkuu ngoja watu wakafanye maisha....mshazoea hard way....
 
hatutaki kazi sisi, tunafungua makampuni yetu

hacha uongo. Hata kampuni inahitaji kupata kazi: Contracts/sub contracts, kupata order za kazi mbalimbali, au kazi za consultancy. Tofauti na hivyo labda hiyo kampuni ni ya kumuhudumia mke/mume wako kitandani.
 
Hataree sana jamaa anataka kutuaminisha hamna civil aliyeajiriwa.....
Sasa sijui hata wao wanafanya kazi zao kwa kutumia watu wenye taaluma gani....
 
Hao investors wa wapi wanakutuma wewe utangaze hapa Jf.We unadhani Engineering ni kama maji unachota tu mtoni.Toa matangazo rasmi sio kuchukulia taaluma za watu kirahisrahis.Sitashangaa kukuta wewe ni mzururaji nchini kwako huna kazi.

Engineering ni kawaida tu mkuu usi complicate maisha...subiri matangazo ya zoom uka apply
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…