samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,267
Kachaguliwa chuo gani tuanzie hapoWakuu habarini za asubuhi samahani kuna mdogo wangu kachaguliwa course mbili civil engineering na mechanical engineering ipi course nzuri Kati ya hizo tu confirm moja
Wazoefu ushauri wenu unahitajika [emoji120] [emoji120]
Nb:Utani na mizaha haihitajiki kwenye uzi huu
Aende Civil Eng Ardhi, Mechanical kwa sasa soko la ajira ni bovu sana, Civil mambo safi.Kachaguliwa
Mechanical engineering -Udsm
Civil Engineering -dit na Ardhi
Vipi mkuu imekaa Poa mechanical engineering?Anayesema soko la mechanical ni bovu aniletee mtu aliyesoma mechanical ana miaka miwili hana kazi toka amalize
Kwanza ningemshauri civil... Alafu lazima ajue kuna tofauti kati ya civil ya udsm na civil ya dit...Kachaguliwa
Mechanical engineering -Udsm
Civil Engineering -dit na Ardhi
Ahsante kwa ushauri wako kaka be blessedKwanza ningemshauri civil... Alafu lazima ajue kuna tofauti kati ya civil ya udsm na civil ya dit...
Ardhi wanatoa bachelor of science in civil engineering na dit wanatoa bachelor of engineering in civil engineering...
Kama unavyoona ziko tofauti...
Kama majina yalivyo civil ya ardhi..asilimia 40 ya mafunzo ni prac na 60 ni theory
Ya dit asilimia 60 ni prac na 40 ni theory..
Sasa kazi kwake...
Ila mwisho wa siku wote wakimaliza wataitwa mainjiania...