Civil Engineer Job opportunities | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Civil Engineer Job opportunities

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mbimbinho, Aug 30, 2012.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Hello wanajamvi, Poleni na majukumu.

  Naombeni msaada wenu, hivi hapa Tanzania kazi zinatafutwa vipi, hasa za makampuni binafsi?
  Mimi ni graduate na registered civil engineer, nimejaribu kutafuta kazi through internet lakini sijafanikiwa.

  Tafadhali, naombeni msaada on that.

  Mbimbinho.
   
 2. engineerm

  engineerm Senior Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ebwana ukipata hiyo kazi niPM ili na mimi nitumie mbinu utakayoitumia maana hata mimi natafuta na ni Civil Engineer
   
 3. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Jaribu kwa njia zote aidha kwenda physically kukutana na owners wa makampuni,pili njia ya internet kama ulivyosema yamkini unatuma maombi na cv yako vinakwenda but havina influence,may be mpangilio may b self expression haiko poa.vzr kujiuliza waliopata wamefanyaje as umefanya,pia tuma hard copies may be hzo soft copy zinaliwa na viruses you never know.Pia mshirikishe mungu ktk mipango yako atakusaidia,usiamini ktk uwezo wako pekee.endelea kujaribu mimi naamini upo karibu kupata kazi na mwaka huu hautokwisha.God bless you!
   
 4. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Andaa CV yako vizuri, peleka kampuni zote unazozijua. au tuma barua au email. CHANGAMKA. ndio mara yangu ya kwanza kusikia Civil Eng. analalamika ajira kwa kipindi kirefu. Toa nuksi hizo.
   
 5. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,161
  Likes Received: 10,507
  Trophy Points: 280
  Naona umempasha kweli.
   
 6. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu, sio kwamba nalia, just nauliza tu maana ndo kwanza naanza kuanza kufanya applications.
   
 7. Maruku Vanilla

  Maruku Vanilla Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Mbimbinho,
  Check PM na fanyia kazi!
  Nakutakia mafanikio
   
 8. Zorrander

  Zorrander JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Make sure cv zinawafikia wahusika, sa zingine cv huwa zinaishia kwa ma-secretary. Komaa kazi zipo.
   
 9. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Mkuu thank you a lot, nishaifanyia kazi kaka. Be blessed mkuu.

  Mkuu hapo upo sahihi, tatizo hadi zifike na secretary akikomaa sijui ndo inakuwaje? Imagine jana kuna sehemu nimeenda mlinzi wa getini anataka nidiscus naye issue iliyonipeleka pale. Bongo kazi kweri kweli.
   
 10. T

  Tewe JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Best ever answer,My Godbless works of your hands, Amen!
   
 11. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Thanks mkuu, wazo zuri sana.
   
 12. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Inabidi uwe makini sana na matangazo yanayotolewa kwenye mitandao wakikutaka utume CV zako na wakati mwingine utume vyeti vyako.
  Kwakua nipo kwenye hii fani ya Ujenzi kwa muda mrefu kidogo,nimegundua watu wengi wana kampuni za ujenzi na hawana ma-Engineer,wanachofanya ni kutangaza kuwa wanahitaji Engineers na wanatumia Vyeti na CV zako kuombea tenda.
  Mimi imenitokea mara mbili na kwa bahati nzuri wale waliokuwa kwenye evaluation team waliona CV yangu na jamaa mmoja alikua ananifahamu akanipigia simu kuniuliza.Nilipofuatilia kwenye hiyo kampuni kwa njia ya siri nikagundua wamenitengenezea CV na wanaonyesha mimi ni mfanyakazi wao kwa miezi minne sasa(kwa wakati huo).
  Kwa maana hiyo ndugu yangu,kuwa makini na unapopeleka CV zako.Kuna watu ni wasanii sana hapa nchini.
  Otherwise i am wishing you all the best.
  Kazi za wahandisi wa ujenzi ni nyingi sana kwani mpaka sasa hatutoshi,tatizo watu wanasita kuajiri kwa kuogopa kulipa mshahara mkubwa.
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu ashanitapeli mimi pia kwa kutumia CV na professional certificate kuombea kazi. Ndio hivyo we learn through mistakes.
   
Loading...