salem osman
New Member
- Jul 24, 2019
- 1
- 1
Kuku wenu mnawatoa wapi?.
Afu mbona mnauza bei ya njiwa tzs1000
Camera isikudanganye, hayo mayai ni makubwa
Wanauzwa 1000 kwa sababu wana mafua.Nasemea hao kuku bei 1000 wamekuwa njiwa
Wanauzwa 1000 kwa sababu wana mafua.
Mawasiliano ya simu je?City kuku ni wauzaji na wasambazaji wa kuku wa kienyeji, kuku wa kisasa(broiler),mayai ya kienyeji ya kisasa, mafuta ya alzeti, asali mbichi, mtindi na samaki.....huduma ya delivery pia ipo lkn ndani ya Dar es salaam..office zetu zinapatkana njia ya Mawasiliano opposite na SOS kituo cha watoto yatimaView attachment 1190554View attachment 1190558View attachment 1190559View attachment 1190560View attachment 1190561View attachment 1190562View attachment 1190564View attachment 1190565