Citizen, KTN na NTV zaamrishwa kuhamia dijitali

Citizen, KTN na NTV zaamrishwa kuhamia dijitali

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,318
Habari Wanabodi,

Stations tajwa za hapo juu zimezimwa kuonekana kwenye ving'amuzi vya tanzania,hii ni kutokana na mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya kuzitaka ziamie digital kuanzia jana 13 February 2014.

The 3 Kenyan media stations NTV, Citizen and KTN have been ordered to migrate their signals to the digital platform by midnight tonight.

The move has buffled the three media houses which have blatantly sabotaged digital migration and made it impossible for Kenya's telecommunication sector to grow.

The Supreme Court ruling means that Communication Authority has the permission to switch off all analogue signals in Nairobi and its environs by tonight and follow through with the previous migration plan as follows

2nd February 2015: Switch off of analogue TV transmitters in Mombasa, Malindi, Nyeri, Meru, Kisumu, Webuye, Kakamega, Kisii, Nakuru, Eldoret, Nyahururu (Nyadundo), Machakos, Narok and Loldiani (Rongai)

30th March 2015: Switch off of analogue TV transmitters in Garissa, Kitui, Lodwar, Lokichogio, Kapenguria, Kabarnet, Migori, Voi (Vuria), Mbwinzau/Kibwezi, Namanga and any other remaining sites

NTV, KTN and Citizen TV have launched a barrage of attack on the government and even refused to run adverts promoting the digital migration. The media owners first asked that the migration deadline be pushed to 30th April but they later changed that and demanded that the date be moved to December 2015.

The foreigners taking over propaganda against PANG has been dismissed by the Supreme Court while the same court has also insisted that the must carry rule stands. The only thing the stations have gained is a self provisioning license. Their move to have own platform might not work as they will be late in the game and might import decoders which nobody would buy.

The three media stations have opposed the migration because digital platform gives small operators an equal platform meaning that Citizen, KTN and NTV might never dominate Kenya's living rooms again with poorly produced programmes while many great productions exists on GOtv, Startimes, Bamba TV, Azam TV and Zuku platforms which they will be competing against.
Sources: Kahawa Tungu
 
Habari Wanabodi,

Stations tajwa za hapo juu zimezimwa kuonekana kwenye ving'amuzi vya tanzania,hii ni kutokana na mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya kuzitaka ziamie digital kuanzia jana 13 February 2014.
sio ndio itakuwa vizuri wawe kidijitali zaidi..
 
Habari Wanabodi,

Stations tajwa za hapo juu zimezimwa kuonekana kwenye ving'amuzi vya tanzania,hii ni kutokana na mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya kuzitaka ziamie digital kuanzia jana 13 February 2014.

Weka sawa hiyo tarehe halafu weka chanzo cha habari yako.

Halafu fanya kuiwekea mbolea.
 
Kwa namna ulivyoandika inaonekana hapa Tanzania bado watu watapata fursa ya kuona matangazo ya luninga hizo...

Isipokuwa kwa huko Kenya ndio sheria itawataka wapitishe mawimbi yao kwa ving'amuzi pia...
 
Kwa hiyo hawarushi matangazo au mfumo wao hauruhusu kurusha matangazo nje? Au station zao ni analogue?
 
Ni kweli kwenye DSTV hazionekani... Oooh ntamiss vipindi vya jumapili kwenye Citizen i.e. Papa Shirandula, Tahidi high n.k
 
Kama kuna jambo nitaendelea kutoa pongezi kwa waziri Mbarawa na Dr. Mkoma ni jinsi walivyo simamia zoezi la kuhama kutoka ktk analogia kuingia digitali licha ya changamoto nyingi zilizo jitokeza wakati huo. Na hawajawahi jisifia kama mabogus wengine wanavyo jisifia wakati same achieve jambo dogo sana!
 
Habari Wanabodi,

Stations tajwa za hapo juu zimezimwa kuonekana kwenye ving'amuzi vya tanzania,hii ni kutokana na mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya kuzitaka ziamie digital kuanzia jana 13 February 2014.

Sources: Kahawa Tungu

Mkuu acha kupotosha hizo station zimezimwa si kwa ving'amuzi vya Tanzania bali nikote hazionyeshwi hata huko Kenya kwa kuwa havijawa kwenye mfumo wa dijitali,chanzo ni kuwa hizi station kubwa tatu Citizen,Nation na KTN ,zinataka ziwe na king'amuzi chao na pia wapewe asilimia kubwa ya kumiliki masafa,wanapinga kampuni za kigeni kama GOtv na StarTimes(wachina)kupewa asilimia kubwa ya masafa,wanadai wao ndio wenye nchi na hawataki Wachina watumie vituo vyao bure kujineemesha.Hivi vituo vya television ni kama vinaigomea tume ya mawasiliano Kenya kwani ndio steshenikubwa huko Kenya na zina uwezo wa kutumia mfumo wa dijitali ila wanachofanya ni kutunishiana misuli na tume ya mawasiliano.
Kwa kifupi hizo stesheni hazijazimwa kwa pande hii tu ya TZ ni kote hazionekani.
 
Dstv zinaonekana
 
Kama kuna jambo nitaendelea kutoa pongezi kwa waziri Mbarawa na Dr. Mkoma ni jinsi walivyo simamia zoezi la kuhama kutoka ktk analogia kuingia digitali licha ya changamoto nyingi zilizo jitokeza wakati huo. Na hawajawahi jisifia kama mabogus wengine wanavyo jisifia wakati same achieve jambo dogo sana!
Mengi sijui kwanini alitaka kupinga hii kitu
 
Back
Top Bottom