Citizen, KTN na NTV zaamrishwa kuhamia dijitali

Citizen, KTN na NTV zaamrishwa kuhamia dijitali

Mi naona visimbuzi kazi yake kuu ni kumnufaisha selikari kukusanya mapato kila mwezi na vituo vya tvstesheni, upande wa mwananchi faida sio kihivyo
 
Kwa namna ulivyoandika inaonekana hapa Tanzania bado watu watapata fursa ya kuona matangazo ya luninga hizo...

Isipokuwa kwa huko Kenya ndio sheria itawataka wapitishe mawimbi yao kwa ving'amuzi pia...
hata kwenye DSTv hazionekani. nilikuwa nashangaa why? kumbe tatizo ndo hilo!
 
hata kwenye DSTv hazionekani. nilikuwa nashangaa why? kumbe tatizo ndo hilo!

yaaaa alafu hata hawajaeka tangazo kwene dstv ni mistari mistari tu aisee kumbe tatizo ni hili didnt know
 
King'amuzi changu kimepoteza signal kuanzia jana usiku hapa nimemuita fundi bado kalala.sijui kama hizo channel zipo au zimefutika.
 
Serikali ya Kenya washafikia muhafaka na leo hii hizo channel zitaanza kuruka hewani kwenye ving'amuzi vya Tanzania.
 
hata dstv zilipotea na kulikuwa na meseji ilibaki ile ya taifa tu ambayo dstv walisema kwa habari za kenya tune KBC K24
 
Serikali ya Kenya washafikia muhafaka na leo hii hizo channel zitaanza kuruka hewani kwenye ving'amuzi vya Tanzania.

mkuu ni kwa ving'amuzi vyote ambavyo viko installed na hizo channel na si tanzania pekee.
 
Mkuu acha kupotosha hizo station zimezimwa si kwa ving'amuzi vya Tanzania bali nikote hazionyeshwi hata huko Kenya kwa kuwa havijawa kwenye mfumo wa dijitali,chanzo ni kuwa hizi station kubwa tatu Citizen,Nation na KTN ,zinataka ziwe na king'amuzi chao na pia wapewe asilimia kubwa ya kumiliki masafa,wanapinga kampuni za kigeni kama GOtv na StarTimes(wachina)kupewa asilimia kubwa ya masafa,wanadai wao ndio wenye nchi na hawataki Wachina watumie vituo vyao bure kujineemesha.Hivi vituo vya television ni kama vinaigomea tume ya mawasiliano Kenya kwani ndio steshenikubwa huko Kenya na zina uwezo wa kutumia mfumo wa dijitali ila wanachofanya ni kutunishiana misuli na tume ya mawasiliano.
Kwa kifupi hizo stesheni hazijazimwa kwa pande hii tu ya TZ ni kote hazionekani.

Hii si ndio ambayo star TV nayo wanataka wafanye hivyo?
 
Back
Top Bottom