Hello
Kwa aliekuwa Certified ISSP(CISSP) Tafadhali tunaomba utueleze Challenge uliyokutana nayo coz kuna watu kibao wanatamani kuwa satified lakini kuna mambo ambayo hawayajui kama Center ya hiyo Mitihani(Kwa Tanzania), Domain ngumu kati yazile 10 NA Domain ya ku-concetrate zaidi. Best Mode of studying(Video, Vitabu au Maswali)
Note: Awe ni mtu aliekuwa Certified hapa hapa Tanzania(Kwa maana mitihani aliifanyia hapa Tanzania)