Cisco certification

ropam

Senior Member
Joined
Aug 11, 2010
Posts
173
Reaction score
36
Habari,
Nimekuwa CCNA-certified tangu september mwaka huu, kuna mtu aliniambia niki-indicate sanduku la posta
kwenye particulars zangu...cheti kitatumwa kwenye sanduku la posta, nilifanya hivyo nkitegemea cheti kitatumwa
kwenye sanduku la posta lakini mpaka leo hakijatumwa!
Kwa wale ambao wamepokea vyeti vyao siku za karibuni au wenye uzoefu na haya mambo ya ku-ship vyeti vya cisco
naombeni msaada...nitumie njia gani niweze kupata cheti mapema itakikanavyo!

thanks in advance
 
mbona wanatuma online or through cisco certified Institution
 
Me nimemaliza CISCO IT ESSENTIALS mwaka jana. Vyeti vyote wametuma kwa email ya coodinator wakituo instructor). vikiwa vimesainiwa kila kitu. yeye ataviprint na kuwapa wanafunzi wao. wewe ulisomaje? ama ulisomea wapi? Nenda kwa instructor wako na yeye ndio mwenye authority ya kuomba vyeti na atakusaidia kwa sababu hilo ni jukumu lake.
 

Hajasoma kozi mwenzako amefanya Certification ya CCNA, vyeti vinatumwa directly na CISCO pia kuna option ya softcopy amabayo ni pdf. Kama ni September mwaka jana basi kitakuwa kimepotea posta yetu hii ya bongo, unaweza kuwapigia simu Cisco kuwauliza kama kimerudi kwao +44 (0)20 8824 1000 ndo namba kwa Africa.
Au nenda kwenye site kama alivyosema mdau mwengine utengeneze account kisha unaweza kuomba support online (Support Home Page).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…