Circumcision

ngalelefijo

JF-Expert Member
Jun 26, 2012
3,699
2,265
Wadau naomba msaada.Nina chalii wangu nataka kumtahiri.je ni wapi kuna huduma iyo bila maumivu makali?nipo morogoro
 
kutahiri bila maumivu ni operation za kike hizo. kutahiri ni tukio la mvulana kuwa mwanaume kamili maumivu na mafunzo juu ya yeye kuwa jasiri, kusimama kama baba, mwanaume nk hufundishwa. usitengeneze jitu la kuogopa ogopa lije kutatuliwa marinda, apigwe kisu bila ganzi kama sisi tulivyofanyiwa.
mwambie aume meno kisu kinapita biashara inaisha dudu inakuwa nzito ya kiume tayari kwa kazi za kibaharia. kama una swali uliza
 
Acha ujima Mkuu.wazungu hawakukosea waliposema mila zetu ni za kipumbavu.si kwenu ndo kwa kina musiba na waitara??\
 
ww ndo mjima kabisa mwanaume unaogopa kisu kuondoa govii ? unataka upakwe mafuta ?? nenda kaondoe govi hilo acha kulia lia hapa, kutahiri gani huko bila maumivu ?
 
kutahiri bila maumivu ni operation za kike hizo. kutahiri ni tukio la mvulana kuwa mwanaume kamili maumivu na mafunzo juu ya yeye kuwa jasiri, kusimama kama baba, mwanaume nk hufundishwa. usitengeneze jitu la kuogopa ogopa lije kutatuliwa marinda, apigwe kisu bila ganzi kama sisi tulivyofanyiwa.
mwambie aume meno kisu kinapita biashara inaisha dudu inakuwa nzito ya kiume tayari kwa kazi za kibaharia. kama una swali uliza
Shkamoo baharia
 
ww ndo mjima kabisa mwanaume unaogopa kisu kuondoa govii ? unataka upakwe mafuta ?? nenda kaondoe govi hilo acha kulia lia hapa, kutahiri gani huko bila maumivu ?
Nimekuheshimu kwa sababu ulofa ulionao ni wa kiwango cha PhD.
 
Tumia njia za asili kutahiri mwanao kuepuka dushe la kushonwashonwa manyuzi, hiyo shona shona inaharibu mzunguko sawia wa damu kwenye Uume maana mishipa inapigwa kovu. Tumia Wamasai au Kitu ya Tarime majibu atakuja kukupa mkweo mwaka 2040.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom