Joel kaigarula
Member
- Jun 3, 2014
- 28
- 16
[h=3]CIA yajiunga na mitandao ya twitter na facebook[/h]
Siku ya jana mamlaka ya intelijensia ya marekani, CIA imejiunga na mitandao ya Facebook pamoja na Twitter. Hata hivyo kupitia ujumbe wake wa kwanza kupitia twitter, CIA wamebainisha kuwa taarifa watakazotoa ni zile zisizo nyeti (unclassified). Lakini je, itamaanisha nini kwako ikitokea CIA wakaamua kuku-follow? utafurahi au utaogopa?
source: Bofyatz.com:: Tanzanian tech blog