International lawyer Franklin Lamb
The study, which has been made available only to a certain number of individuals, further forecasts the return of all Palestinian refugees to the occupied territories, and the exodus of two million Israeli - who would move to the US in the next fifteen years.
"There is over 500,000 Israelis with American passports and more than 300,000 living in the area of just California," International lawyer Franklin Lamb said in an interview with Press TV on Friday, adding that those who do not have American or western passport, have already applied for them.
He said CIA, in its report, alludes to the unexpectedly quick fall of the apartheid government in South Africa and recalls the disintegration of the Soviet Union in the early 1990s, suggesting the end to the dream of an 'Israeli land' would happen 'way sooner' than later.
The study further predicts the return of over one and a half million Israelis to Russia and other parts of Europe, and denotes a decline in Israeli births whereas a rise in the Palestinian population.
.
Sidhani hii repoti ni ya CIA maana arguments zake ziko below sea level.Nadhani ni maoni tu ya mwandishi ili auze kagazeti kake.
Israeli kinachowafanya wasisambaratike kama nchi ni kiwango cha juu cha nationalism spirit walichonacho.Hakuna nchi popote duniani yenye kiwango kile.Urusi,makaburu wa Afrika ya kusini ziliwezekana sababu kiwango chao cha nationalism kiko chini mno ndio maana hata urusi ilisambaratika na hata marekani yaweza sambaratika.Hata China haijafikia kiwango cha nationalism spirit walichonacho wayahudi.
Kuwepo kwa Israeli hakutegemei fedha za ndani ya Israeli au nje ya Israel bali moyo wao usiotikisika wa utaifa.Ndio maana hata kivita waweza kuwashinda mabilionea wa kiarabu sababu moyo wa nationalism kwa waarabu hauko strong kama wa waisraeli pamoja na mipesa yao na population yao kuwa kubwa mno kuliko Israel.
Hata Palestina wale wapalestina wa ndani na nje ya palestina hawana nationalism spirit kama waliyonayo wayahudi.Suala la Palestina wanaolishikia bango sana si wapalestina wa palestina bali waislamu wenye siasa kali ambao wanazingatia mafunzo ya kurani ya kuangamiza wayahudi kwa maagizo ya kidini zaidi kuliko kisiasa.Hata ukifuatilia vyombo vya habari utaona kuwa wakereketwa wa Palestina ni watu wa nje ya palestina kama vile Raisi wa Iran,Osama bin Laden,Raisi wa Syria n.k Hao ndo wako tayari ku-toa resources zao na silaha na watu kuipigania palestina.Wakati watetezi wakuu wa Israeli ni wayahudi wenyewe na ndio hutoa pesa,silaha na kujitoa wenyewe kupigania nchi yao hawaajiri mgeni kuwasaidia kama wapalestina wanavyofanya kuajiri hata wa kujitoa muhanga toka mataifa mengine.
Hata wa kuandamana kuwatetea wapalestina ni kawaida ya wapalestina kuajiri vibaraka wa nje kwa kuwakatia posho vibaraka wahamasisha maandamano kupitia network zao.Niliona maandamano Dar es salaam wakati fulani ya kuunga mkono wapalestina ambayo hakuwepo mpalestina hata mmoja pamoja na kuwa Dar es salaam wako wapalestina wengi niliona wamejaa waswahili toka vimisikiti vya vichochoroni wakiwa na jazba za kelele za takbir lakini bila kuwepo wapalestina.Yaani waswahili walikuwa wakishindana kwenye maandamano kuonyesha nani mkereketwa zaidi wa Palestina wakati wapalestina walikuwa kwenye maduka yao wakiendelea na biashara zao kutengeneza pesa bila kujiunga na huo ukereketwa wa palestina wakawaachia waswahili wa misikitini ya vichochoroni ambao wengi wao hawakusoma na hata ukiwauliza Palestina kwenye Ramani iko wapi Afrika,Asia,Ulaya au wapi hawajui.
Watetezi wakuu wa palestina si wapalestina wakati watetezi wakuu wa taifa la Israeli ni wayahudi wenyewe ndio maana Israeli kusambaratika ni ndoto za mwendawazimu wakati Palestina,Syria,Iran,Saud Arabia,Misri,Moroco,Sudan,Iraq n.k kusambaratika kama mataifa ni kazi ndogo tu ni suala tu la muda maana watu wake hawana utaifa sana wa hata kufia wakipigania nchi zao.Mtaalamu mmoja wa vita wa Israeli aliwahi kusema kuwa Waarabu wengi wako tayari kufia wakipigania dini ya kiislamu lakini sio nchi zao kwa hiyo ukiamua kuwavurumisha kivita nchini kwao ni kazi ndogo tu kuwabomoa maana kinachowaunganisha si utaifa bali ni dini.
Kuhusu waisraeli kuhamia nchi zingine sio hoja myahudi popote alipo duniani ni mtetezi,mlinzi na mpiganaji wa taifa la Israel hata umpe uraia na hati ya kusafiria.Hata kama ndani ya Israeli wabaki watu kumi wengine wote wahamie mataifa mengine bado hao wengine walioko nchi zingine wataendelea kuhakikisha Israel inakuwepo kwa kui-support kifedha,kivita n.k
Wakati nchi nyingine ikiwemo Tanzania mtu akihama Tanzania na kuhamia nchi nyingine mfano Marekani wakampa uraia na passport ya kusafiria ya Marekani basi utaifa wake kwa Tanzania ndio kwaheri.Unatimia kwake ule msemo wa maskini akipata ****** hulia mbwata!!!!