CIA ndio waliowafundisha ISIS

CIA ndio waliowafundisha ISIS

kamili

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,219
Reaction score
855
‘No military value’ in US Syria
targets
The United States’ airstrikes in Syria often target
militants with “no military value” and actually
aim at the country’s infrastructure, says a US
Marine Corps veteran.
Alan Sabrosky (Ph.D, University of Michigan)
made the remarks in a phone interview with Press
TV on Tuesday while commenting on Washington-
led coalition airstrikes in Syria that began last
week.
“What I can see happening is that the targets
they’re selecting are those that have, in many
cases, no military value at all to ISIS or any other
rebel group but really are intended to break
whatever infrastructure the Syrian government will
have when the fighting is over,” Sabrosky said.
Washington intends to inflict “such damage to the
economic and industrial infrastructure within Syria
that any Syrian government after the fighting will
be so weakened that it will be vulnerable to
further attacks.”
Sabrosky, a US Army War College graduate, also
noted that it is important for the international
community to understand that war has become “a
normal part of the political, public, and social
environment” in the US as the country is “now
entering its 14th year of continuous warfare.”
“That is extremely dangerous for a lot of other
countries,” he stated.
The US started conducting airstrikes on the ISIL
terrorists only after US interests were threatened
by the militants.
The ISIL terrorists, who were initially trained by
the CIA in Jordan in 2012 to destabilize the
Syrian government, control large parts of Syria's
northern territory. ISIL sent its fighters into Iraq in
June, quickly seizing vast expanse of land
straddling the border between the two countries.
Syria has been gripped by deadly violence since
2011 with ISIL Takfiri terrorists currently
controlling parts of it mostly in the east.
The Western powers and their regional allies --
especially Qatar, Saudi Arabia and Turkey -- are
reportedly supporting the militants operating
inside Syria.
More than 191,000 people have been killed in over
three years of fighting in the war-ravaged country,
says the Office of the UN High Commissioner for
Human Rights (OHCHR), calling the figure a
probable “underestimate of the real total number
of people killed.
NT/GJH
 
Thanks, that is reality. CIA and MOssad are highly concerned in IS, ISIL, ISIS operation.
And the target is the Asad government.
Wakimaliza kazi utaona ISI inayeyuka kama barafu.......
 
Mkuu hata kama CIA waliwafundisha hao wendawazimu,hayo mafunzo yalikuwa sio kwenda kuchnjachnja watu kama wanavyofanya ss hv
 
Mkuu hata kama CIA waliwafundisha hao wendawazimu,hayo mafunzo yalikuwa sio kwenda kuchnjachnja watu kama wanavyofanya ss hv

Ni kweli kabisa unayoyasema, hata mimi kwa namna moja naamini hivyo. Lakini naamini pia makundi haya ya ugaidi ni agenda ya siri ya Marekani. Nguvu walizozionesha Isis siamini kama zinatookana na support ya waarabu. Na askari siku zote hutekelea alichofundishwa na kisha kuamriwa. Kama ulivyoona hata mashambulizi ya marekani yanaathiri zaidi miundo mbinu ya syria kuliko ISIS. Tukubaliane kabla ya uvamizi wa Iraq hapakuwahi kuwa na magaidi wabaya hivi.
 
Mkuu hata kama CIA waliwafundisha hao wendawazimu,hayo mafunzo yalikuwa sio kwenda kuchnjachnja watu kama wanavyofanya ss hv

Wewe una uhakika gani kuwa ni kweli wamechinja hao watu??

USA na washirika wake wakitaka kufanya ulaghai wa aina yyte wanaweza.

Infact wanaweza hata kutengeneza drama ili kuuonyesha umma wa dunia ni kwa namna gani hao magaidi wao waliowafunza wao wenyewe hao isis jins wwlivyo wakatili kisha wakajipa justification ya kuingia syria na kuharibu kila chenye manufaa kwa assad kwa mgongo wa nyuma ya propaganda.

Hakuna anaemtetea assad kwamba ni mtu mzuri la hasha.

Ila njia zinazotumika kuingia nchi isiyo wahusu hawa marekani na washirika wake sio sahihi.

Uwongo wao hautawafikisha mbali.
 
Mkuu unajua technolojia siku hizi inatawala sana. Hakuna mtu aliyechinjwa. Hiyo ni movie editing. Wanafanya makusudi ili watu waone kweli hawa isis wanatakiwa kupigwa. America alipoingia Iraq alidhibiti mipaka na vyanzo vyote vya uasi. Sasa hawa ISIS wamepataje nguvu hivyo mpaka Marekani kaamua kutumia airstrike???
Hii ni uongo mkubwa.
 
Ni kweli mkuu.

Njia ya mwongo ni fupi.

Kama walivyoongopea iraq na weapons of mass destruction wakafeli.

Na hii isis wataumbuka kama vile walivyoumbuka kwa watu wao alqaeda.
 
Back
Top Bottom