Church fund 'not enough' to right slavery wrongs

kahtaan

JF-Expert Member
Jul 11, 2009
18,713
11,274
  • Nathan Standley
  • Role,BBC News
  • 4 March 2024
The £100m earmarked by the Church of England for a new investment fund to help repair damage caused by its historic links to slavery is "not enough", a report says.

It comes after an investigation last year found the Church had invested large amounts of money into a company that transported tens of thousands of slaves.

The Church welcomed the report by the Church Commissioners charity and accepted its recommendations - but would not commit to raising the fund to the report's £1bn target.

The Archbishop of Canterbury, Justin Welby, said the report was "the beginning of a multi-generational response" to the "appalling evil" of slavery.

My take.

Leo tumejifunza kuwa KANISA lilitumika sana kufanya biashara ya watumwa kutoka Africa kwenda ulaya na marekani.

Yale mauwaji yote ya Waafrika na watoto wao KANISA LEO Limeamua kutenga fungu la pesa kuficha UOVU HUO.

Waarabu walipakaziwa Uongo huu ndio maana hakuna taifa la kiarabu limeshtakiwa kwa tuhuma hizo za biashara ya watumwa.

Kweli kabisa HAKUNA SIRI IKAFICHWA MILELE.

Sisi waafrika tuseme Haleluyah. Kumbe Walituletea Uongo wao kwa lengo la kuja kutuuza kama nyanya.

ILANI:

Wale wafuasi wa hawa wazungu walioua babu zetu sitaki Mapovu hapa.

Nawasilisha.
 
Yale mauwaji yote ya waafrika na watoto wao KANISA LEO Limeamua kutenga fungu la pesa kuficha UOVU HUO.
Waarabu walipakaziwa Uongo huu ndio maana hakuna taifa la kiarabu limeshtakiwa kwa tuhuma hizo za biashara ya watumwa.

Kweli kabisa HAKUNA SIRI IKAFICHWA MILELE.
Sisi waafrika tuseme Haleluyah. Kumbe Walituletea Uongo wao kwa lengo la kuja kutuuza kama nyanya.

ILANI:
Wale wafuasi wa hawa wazungu walioua babu zetu sitaki Mapovu hapa.
Na Mods naomba huu uzi usipelekwe kwenye jukwaa la Dini.
HAPA UMEONGELEWA biashara ya WATUMWA .
SLAVE TRADE.
Naomba muutendee UZI HUU HAKI ili watanzania wajifunze HISTORIA YA KWELI.

Nawasilisha.
Wewe kama Mpogoro wa huko uswekeni ni mnufaika hadi umaindi?
 
Wazungu walituletea vitabu vya history ya watumwa kisha wakatuchorea picha za waarabu wanatesa watumwa kumbe UNAFIKI MTUPU.
LEO kanisa limetoa pesa baada ya kudhalilika kwa mateso waliofanya kwa waafrika.

Mungu awalaani milele
 
Nimesoma na nimeielewa habari yote nataka uniambie wewe utanufaika vipi
Swali lako halina mashiko.
Mimi hapa nimepata elimu ya kweli kuwa wazungu walitumia KANISA kuua na kutesa Babu zetu.

Na meli YA kubeba watumwa iliitwa "MV JESUS "

Meza dawa chungu hio.
 
Hata kama ni kweli, yote hayo ni irrelevant. Swali ni vipi wewe utanufaika na hiyo investment fund hadi uone hii ni habari muhimu sana kwako binafsi.
 
Hiyo "MV Jesus" ilikuwa meli ya kanisa la Anglikana?
 
Hapo umeuliza Jibu.

Soma kidogo historia ya MV JESUS uone balaa waliofanya hao wazungu.

Watumwa walirekodiwa 7500 wamebebwa na meli hio . Na nina hakika hio idadi sio sahihi.
 
Nimesoma na nimeielewa habari yote nataka uniambie wewe utanufaika vipi
Hujaelewa chochote.
Hata kama ni kweli, yote hayo ni irrelevant. Swali ni vipi wewe utanufaika na hiyo investment fund hadi uone hii ni habari muhimu sana kwako binafsi.
Kama kiingereza hujui tumia Google utapata mawili matatu .
Hujaelewa somo ndio maana unauliza maswali ya ajabu yasiohusika na Topic au inawezekana hujafika umri wa jando.
Hii sio topic ya wanafunzi wa shule ya msingi.
 
Wewe ni muhanga wa moja kwa moja wa biashara ya utumwa? Una biashara yoyote ya maana Uingereza na unaishi huko?
 
We kwa hilo jina lazima utakuwa mhutu
Sisi watanzania wengi wetu ni wahanga wa biashara ya utumwa ililetwa na KANISA .
Huo "uhanga" wako wa "biashara ya utumwa ililetwa na KANISA" upoje mkuu? Ni imaginary sense of victim hood or something more real and tangible?
 
  • Nathan Standley
  • Role,BBC News
  • 4 March 2024
The £100m earmarked by the Church of England for a new investment fund to help repair damage caused by its historic links to slavery is "not enough", a report says.

It comes after an investigation last year found the Church had invested large amounts of money into a company that transported tens of thousands of slaves.

The Church welcomed the report by the Church Commissioners charity and accepted its recommendations - but would not commit to raising the fund to the report's £1bn target.

The Archbishop of Canterbury, Justin Welby, said the report was "the beginning of a multi-generational response" to the "appalling evil" of slavery.

The Church welcomed the report by the Church Commissioners charity and accepted its recommendations - but would not commit to raising the fund to the report's £1bn target.

The Archbishop of Canterbury, Justin Welby, said the report was "the beginning of a multi-generational response" to the "appalling evil" of slavery.

My take.

Leo tumejifunza kuwa KANISA lilitumika sana kufanya biashara ya watumwa kutoka Africa kwenda ulaya na marekani.

Yale mauwaji yote ya Waafrika na watoto wao KANISA LEO Limeamua kutenga fungu la pesa kuficha UOVU HUO.

Waarabu walipakaziwa Uongo huu ndio maana hakuna taifa la kiarabu limeshtakiwa kwa tuhuma hizo za biashara ya watumwa.

Kweli kabisa HAKUNA SIRI IKAFICHWA MILELE.

Sisi waafrika tuseme Haleluyah. Kumbe Walituletea Uongo wao kwa lengo la kuja kutuuza kama nyanya.

ILANI:
Wale wafuasi wa hawa wazungu walioua babu zetu sitaki Mapovu hapa.

Nawasilisha.
tubuni tu kwa Msihangaike kwa wanadamu, kosa lenyewe lilifanyika miaka mingi huko, waliofanya watajua kwa Mungu binafsi.
 
Huo "uhanga" wako wa "biashara ya utumwa ililetwa na KANISA" upoje mkuu?
Ndio nikasema soma uzi kwanza . Usidai umeelewa wakati hujaelewa kitu.
Waafrika tunafeli sana duniani kwa kuona aibu ya kuonekana hatujaelewa
KIINGEREZA sio lugha yetu kwahio wewe kutokujua kiingereza sio AIBU .

Kama hujaelewa UZI Uliza !
Kama hujui kusoma KIINGEREZA uko sahihi wala hakuna cha ajabu hapo.

Waingereza wengi sana kiswahili HAWAJUI.
 
tubuni tu kwa Msihangaike kwa wanadamu, kosa lenyewe lilifanyika miaka mingi huko, waliofanya watajua kwa Mungu binafsi.
Hao ndio walikusababisha wewe ukajiita "yesu anakuja"

Bila hao wazungu waliokuja kuua babu zetu leo hii usingejipa jina hilo.

History hata siku moja haiwezi kufutika .
Wako wajukuu wa watumwa mpk leo hii wameathirika Direct na Biashara hii haramu .
Kwahio hakuna suala la kusema ati imetokea zamani
Ndio maana KANISA LA UINGEREZA limeamua kutoa pesa kiasi cha billion 3.5 Tshs kulipa fidia lkn Haitoshi kabisa

Wameua MAMILIONI WA WAAFRIKA. KANISA LIMEHUSIKA MOJA KWA MOJA.
 
wazungu au waarabu walioua babu zetu walishakufa, babu zetu nao walishakufa, sisi tuombwe radhi ya nini sasa? waliotakiwa kuombwa radhi ni wale walioteswa, wewe kwani umeteswa na mzungu au mwarabu? umeuzwa kama mtumwa? as a matter of fact, unatubu kwa mtu uliyemkosea, na mbele za Mungu kila mtu atakuwa accountable personally, waliotesa babu zetu watakuwa accountable personally, na walioteswa (ambao hakuna aliyehai hadi leo) watapata reward personally, ya nini kuweka kundi zima la watu kwenye kapu moja? wewe kama ukoo wako ni X, basi ikiwa X mmoja wenu kwenye ukoo ametenda jambo baya inamaana mmetenda ninyi nyote? au yule X atakuwa accoutable in person? hamuoni kama mnapoteza muda kujadili kitu ambacho hakitawasaidia?
 
Back
Top Bottom