***** Chupi ***.....

***** Chupi ***.....

WaliNazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
851
Reaction score
96
Wanaume hupendelea/mwapendelea za rangi gani..? As 4 themselves and for their loved ones..??
Wanaume mwapendelea rangi gani ya underwears..

Wanawake/Mabinti...Rangi gani mwaipendelea..hasa kwa BF/MMEO/UR LOVED ONE ...mnapoamua wanunulia zawadi hii..

Mind U X-mass is of colours !!!
 
Nyeupe inaonyesha usafi wa mvaaji nyekundu pia si mbaya
 
mie napenda mpenzi wangu avae lace boylevs black au red.
 
Ladies - white, pink, red, violet etc. Kama ni dada mweupe sana, rangi nyeusi pia inanipa mzuka. Kwa wanaume sijui....labda wadada watuambie! Binafsi sipendelei hot colours wala nyeupe.
 
Yoyote ile bora iwe safiiii.......na inachofunika kiwe safi
 
Napendelea sana white,ingawa pia hata pink huwa nazikubali mtoto akitupia! Hasa zile zenye 'lesi lesi' au kama nyavu,mimi hoiii! Angalau niweze kuona kwa mbali muonekano wa 'pitch'.
 
chanikiwiti, samawati, hudhurungi na urujuani....
 
kazi kwelikweli maana kama ni research basi conclusion ni rangi zote kwa wanaume ila bora usafi. Rangi zote zimetajwa so what!!!
 
kazi kwelikweli maana kama ni research basi conclusion ni rangi zote kwa wanaume ila bora usafi. Rangi zote zimetajwa so what!!!

Njano haijatatwa. Rangi hii sio common saana.. I like it!!
 
Njano haijatatwa. Rangi hii sio common saana.. I like it!!

Asante mkuu Loli kunikumbusha, sasa umeiwakilisha hiyo njano, hivyo bado conclusion inabakia palepele kiongozi.
 
Rangi ya simba ni nzuri sana kwa mkaka kama mimi, kwani huyo mdada atashughulikiwa kisawasawa.
 
kazi kwelikweli maana kama ni research basi conclusion ni rangi zote kwa wanaume ila bora usafi. Rangi zote zimetajwa so what!!!

... adolay ...so what is..!!..what d u prefer as sexxyyy...!!
 
Last edited by a moderator:
Rangi ya chani kiwiti nzuri sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom