Chupi zinaniwasha

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,775
Reaction score
9,202
Leo nimeenda dansi live band. Mmoja wa masteji show hakuwa amevaa chupi name mkoba wake ulikuwa unaonekana dhahiri na hivyo kusababisha midume ipagawe.
Mziki ulipoisha nikamsogelea na kumpongeza kwa umahiri wake. Nikamuuliza mbona hujavaa chupi akajibu kuwa tangu akiwa mtoto havai kwani akivaa huwashwa sana. Heee nikakoma mwenyewe. Hii ndio Mombasa bwana
 
Hahahhahaha...kwan ww hujawahi kutoka bila kuvaa hata mara 1?
 
Toka akiwa mdogo? Ndo maana shule ikamshinda akapata kazi sawia ya usteji show. Hongera zake.
 
Ungemuuliza alikua anavaa chupi za aina gani?

Nilimuuliza akasema kajaribu za aina mbalimbali lakini hakupata ahueni. Nikamwambia ajaribu za pamba akaniambia hata za pure cotton kwake hazisaidii kitu
 
Nilimuuliza akasema kajaribu za aina mbalimbali lakini hakupata ahueni. Nikamwambia ajaribu za pamba akaniambia hata za pure cotton kwake hazisaidii kitu

bhas muache watu waendelee kupiga picha tupu zake, nahis ndo anavyopenda
 
Hapo inakua haiwashi chupi kinawasha kiungo ambacho chupi inatakiwa ikifunike(kipochi ....)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…