Jamani tuna wagonjwa humu!!
shahawa unazotoa usingizini siyo vimelea vile!! Ni watoto wako wale!! Ukimuazima Dem pichu hii bila kuifua anapata mimba faster.
Abortion ya kiume ni kuua hao watoto eti mnasingizia ni vimelea. Sasa weye ungeitwa kimelea wkt u mchanga km shahawa ungekubali...????
Msisahau!! kiunoni ndiko mlikotoka wkt madingi zenu wanavaa pichu zenye ukoko pale kazini kwao feri!!!!
Muda wa kufua hana.... anasubiri boat za wavuvi!!!
akianika tu si yake tena hiyo.!!atatembea kimnining'inizo weee! Mpaka basi!.akitembea jengere zinagonga kushoto kulia*7. Ukiwashwa ki hivi uba maatizo kiafya!!