Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 Jul 5, 2017 #1 Naombeni kujua bei ya Dozen ya Chupi za Wanawake zinauzwa kiasi gani kwa DSM Nataka nikamnunulie Mchumba zawadi
Naombeni kujua bei ya Dozen ya Chupi za Wanawake zinauzwa kiasi gani kwa DSM Nataka nikamnunulie Mchumba zawadi
T Tuchki JF-Expert Member Joined Feb 1, 2017 Posts 1,740 Reaction score 1,446 Jul 5, 2017 #2 unataka kufanya biashara mkuu
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,027 Reaction score 52,501 Jul 5, 2017 #3 inategemea mkuu.kuna chupi hadi za buku kuna chupi hadi million wewe tu na mpenzi wako.ila unakuaje na mpenzi anaevaa chupi?
inategemea mkuu.kuna chupi hadi za buku kuna chupi hadi million wewe tu na mpenzi wako.ila unakuaje na mpenzi anaevaa chupi?
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 Jul 5, 2017 Thread starter #4 Miss Natafuta said: inategemea mkuu.kuna chupi hadi za buku kuna chupi hadi million wewe tu na mpenzi wako.ila unakuaje na mpenzi anaevaa chupi? Click to expand... ujajibu za milioni ww unavaa acheni maisha ya kuiga ww sema bei ya jumla jumla
Miss Natafuta said: inategemea mkuu.kuna chupi hadi za buku kuna chupi hadi million wewe tu na mpenzi wako.ila unakuaje na mpenzi anaevaa chupi? Click to expand... ujajibu za milioni ww unavaa acheni maisha ya kuiga ww sema bei ya jumla jumla
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 Jul 5, 2017 Thread starter #5 Hans Miki said: Unataka kupeleka zawadi mkuu? Click to expand... nimeuliza nataka nijue tu
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 Jul 5, 2017 Thread starter #6 Tuchki said: unataka kufanya biashara mkuu Click to expand... nataka nijue tu
Nyankuzi JF-Expert Member Joined Nov 3, 2016 Posts 465 Reaction score 391 Jul 5, 2017 #7 Askari Muoga said: Naombeni kujua bei ya Dozen ya Chupi za Wanawake zinauzwa kiasi gani kwa DSM Click to expand... Lazima umeombwa laki 5 ya chupi ....
Askari Muoga said: Naombeni kujua bei ya Dozen ya Chupi za Wanawake zinauzwa kiasi gani kwa DSM Click to expand... Lazima umeombwa laki 5 ya chupi ....
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,027 Reaction score 52,501 Jul 5, 2017 #8 Askari Muoga said: ujajibu za milioni ww unavaa acheni maisha ya kuiga ww sema bei ya jumla jumla Click to expand... hata elf 10 unapata nishakuambia inategemea mkuu. kuhusu mimi sivai ya millioni wala ya buku.sivai chupi kabisa zina magonjwa
Askari Muoga said: ujajibu za milioni ww unavaa acheni maisha ya kuiga ww sema bei ya jumla jumla Click to expand... hata elf 10 unapata nishakuambia inategemea mkuu. kuhusu mimi sivai ya millioni wala ya buku.sivai chupi kabisa zina magonjwa
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 Jul 5, 2017 Thread starter #9 Nyankuzi said: Lazima umeombwa laki 5 ya chupi .... Click to expand... mh jibu swali au uvai chupi
Jozee mkunaji JF-Expert Member Joined Jun 11, 2017 Posts 459 Reaction score 613 Jul 5, 2017 #10 Miss Natafuta said: inategemea mkuu.kuna chupi hadi za buku kuna chupi hadi million wewe tu na mpenzi wako.ila unakuaje na mpenzi anaevaa chupi? Click to expand... wewe unavaa nn guitar
Miss Natafuta said: inategemea mkuu.kuna chupi hadi za buku kuna chupi hadi million wewe tu na mpenzi wako.ila unakuaje na mpenzi anaevaa chupi? Click to expand... wewe unavaa nn guitar
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 Jul 5, 2017 Thread starter #11 Miss Natafuta said: hata elf 10 unapata nishakuambia inategemea mkuu. kuhusu mimi sivai ya millioni wala ya buku.sivai chupi kabisa zina magonjwa Click to expand... Duh unavaa nini sasa Pampers
Miss Natafuta said: hata elf 10 unapata nishakuambia inategemea mkuu. kuhusu mimi sivai ya millioni wala ya buku.sivai chupi kabisa zina magonjwa Click to expand... Duh unavaa nini sasa Pampers
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Jul 5, 2017 #12 Kuna chupi za kina aina, kila material, kila mshono nakushauri upite tu madukani uangalie mwenyewe! Zipo mpaka za kushonwa kwa vitenge
Kuna chupi za kina aina, kila material, kila mshono nakushauri upite tu madukani uangalie mwenyewe! Zipo mpaka za kushonwa kwa vitenge
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 Jul 5, 2017 Thread starter #13 CHIKIRA MTABARI said: Kuna chupi za kina aina, kila material, kila mshono nakushauri upite tu madukani uangalie mwenyewe! Zipo mpaka za kushonwa kwa vitenge Click to expand... za dukani sio za mtumba nipe mfano kwa jumla jumla Chupi classic
CHIKIRA MTABARI said: Kuna chupi za kina aina, kila material, kila mshono nakushauri upite tu madukani uangalie mwenyewe! Zipo mpaka za kushonwa kwa vitenge Click to expand... za dukani sio za mtumba nipe mfano kwa jumla jumla Chupi classic
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,027 Reaction score 52,501 Jul 5, 2017 #14 Askari Muoga said: Duh unavaa nini sasa Pampers Click to expand... kwani umesikia najiharishia hadi nivae pampers? unajua kaazi ya pampers kweli? chupi na pampers vinafanya kazi moja?
Askari Muoga said: Duh unavaa nini sasa Pampers Click to expand... kwani umesikia najiharishia hadi nivae pampers? unajua kaazi ya pampers kweli? chupi na pampers vinafanya kazi moja?
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Jul 5, 2017 #15 Miss Natafuta said: hata elf 10 unapata nishakuambia inategemea mkuu. kuhusu mimi sivai ya millioni wala ya buku.sivai chupi kabisa zina magonjwa Click to expand... hahahaah, kama nakuona vile shost ukiwa ndani ya dela bila chupi halafu umefanya kulishika upande mmoja unapokuwa unatembea, hahahahahahah
Miss Natafuta said: hata elf 10 unapata nishakuambia inategemea mkuu. kuhusu mimi sivai ya millioni wala ya buku.sivai chupi kabisa zina magonjwa Click to expand... hahahaah, kama nakuona vile shost ukiwa ndani ya dela bila chupi halafu umefanya kulishika upande mmoja unapokuwa unatembea, hahahahahahah
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 Jul 5, 2017 Thread starter #16 Miss Natafuta said: kwani umesikia najiharishia hadi nivae pampers? unajua kaazi ya pampers kweli? chupi na pampers vinafanya kazi moja? Click to expand... zote kuficha papuchi
Miss Natafuta said: kwani umesikia najiharishia hadi nivae pampers? unajua kaazi ya pampers kweli? chupi na pampers vinafanya kazi moja? Click to expand... zote kuficha papuchi
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Jul 5, 2017 #17 Askari Muoga said: za dukani sio za mtumba nipe mfano kwa jumla jumla Chupi classic Click to expand... za bei ya kawaida dozen ni Tshs24,000/=
Askari Muoga said: za dukani sio za mtumba nipe mfano kwa jumla jumla Chupi classic Click to expand... za bei ya kawaida dozen ni Tshs24,000/=
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 Jul 5, 2017 Thread starter #18 CHIKIRA MTABARI said: hahahaah, kama nakuona vile shost ukiwa ndani ya dela bila chupi halafu umefanya kulishika upande mmoja unapokuwa unatembea, hahahahahahah Click to expand... harafu mguu kaupeleka uko anapunga upepo
CHIKIRA MTABARI said: hahahaah, kama nakuona vile shost ukiwa ndani ya dela bila chupi halafu umefanya kulishika upande mmoja unapokuwa unatembea, hahahahahahah Click to expand... harafu mguu kaupeleka uko anapunga upepo
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 Jul 5, 2017 Thread starter #19 CHIKIRA MTABARI said: za bei ya kawaida dozen ni Tshs24,000/= Click to expand... oky asante
Umba Tuku JF-Expert Member Joined Feb 4, 2017 Posts 2,101 Reaction score 1,271 Jul 5, 2017 #20 ISIYOBANA NA INAYOPITISHA HEWA YA KUTOSHA KWA BWANA ABDALLA JICHO MOJA