Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Nenda kariakoo sokoni, Tandika pia vinapatikana kuna duka karibu na stand ya mabasi ya mbagala.
We naweNenda kariakoo sokoni, Tandika pia vinapatikana kuna duka karibu na stand ya mabasi ya mbagala.
Wazee wakusoma kichwa cha Habari mnisamehe πππππππ.We nawe
Umavoelekeza utadhani kila mtu yupo dar vilee...mwenzio kasema kilimanjaro
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahaa