Vee Mghamba
Member
- Oct 19, 2015
- 29
- 1
Habr wanajamvi naomba kuelekezwa chuo cha kleruu kipo wilay gani kwa iringa na maeneo kinapopatikana kwa anaye fahamu anisaidie
Habr wanajamvi naomba kuelekezwa chuo cha kleruu kipo wilay gani kwa iringa na maeneo kinapopatikana kwa anaye fahamu anisaidie
eneo linaitwa kihesa iringa mjini jiran na iringa girls school.
nmesoma hapo 2007
Shkrani....vip mazngira yakoje kwa ujumla kitaalum na maisha ya hko chuoni samhn lkn
Kuna miti miti mingi sana (inaitwa miti ulaya ...maalufu kwaajili ya maeneo ambayo ni water-logged areas / swampy areas
Kimepakana na shule ya Highlands....na opposite yake kuan uzio wa uwanja wa kanisa katoliki Kihesa.
Ni mjini kabisa....uta papenda sana .....mabweni yake ni ya ghrofa ila zile zilizojengwa kitambo enzi za mwalimu.
kukata kuni kama kawaida na kuvaa uniform kila unapokuwa chuoni au unapoenda mtaaani.
Jirani kuna watoto wakali wa Iringa girls na Lugalo sec.....kaazi ni kwako tu.