Hute JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,537 Reaction score 6,479 Sep 7, 2011 #81 hatuwezi kujenga pemba kwasababu nyie wapemba hamna future yeyote na wabara, kwanza mnataka kujitenga, hivyo na sisi tunaangalia maslahi yetu kwanza, nyie baadaye....hamuelewi tu?
hatuwezi kujenga pemba kwasababu nyie wapemba hamna future yeyote na wabara, kwanza mnataka kujitenga, hivyo na sisi tunaangalia maslahi yetu kwanza, nyie baadaye....hamuelewi tu?
M migomo ya vyuo Member Joined Jun 14, 2011 Posts 58 Reaction score 18 Sep 7, 2011 #82 Chuo ni muhimu kijengwe sehemu yenye hamasa ya elimu kaskazini wanasoma na wanaipenda elimu pemba tutajenga chuo cha kujifunza qorun
Chuo ni muhimu kijengwe sehemu yenye hamasa ya elimu kaskazini wanasoma na wanaipenda elimu pemba tutajenga chuo cha kujifunza qorun
Fredrick Sanga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 3,153 Reaction score 699 Sep 7, 2011 #83 Wazo ni zuri lakini hiki kilishaanza kujegwa, labda watafungua fishing engineering Pemba, na mine engineering branch kigoma. Ni wazo tu
Wazo ni zuri lakini hiki kilishaanza kujegwa, labda watafungua fishing engineering Pemba, na mine engineering branch kigoma. Ni wazo tu
C calmdowndear JF-Expert Member Joined Jul 12, 2011 Posts 605 Reaction score 275 Nov 29, 2011 #84 wangekijenga Tanga
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Nov 29, 2011 #85 kijengwe pwani ya kiwengwa
C calmdowndear JF-Expert Member Joined Jul 12, 2011 Posts 605 Reaction score 275 Aug 9, 2016 #86 Usanii tuuu