Sema Chilo
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 324
- 25
Wana JF naomba mnijibu kwa anayejua, kwamba nani mmiliki haswa wa chuo cha dodoma? Je kuna uhusiano wa chuo cha Dodoma na uuzwaji wa TWIGA na wanyama wengine nchi za kiarabu?
Wana JF naomba mnijibu kwa anayejua, kwamba nani mmiliki haswa wa chuo cha dodoma? Je kuna uhusiano wa chuo cha Dodoma na uuzwaji wa TWIGA na wanyama wengine nchi za kiarabu?
ni cha brown yule anaetetea muswaada wa kanisa wanaume kwa wanaume waowanecha familia ya marehemu Ghaddafi... Yule alokuwa anataka kusilimisha Afrika nzima.
ni cha brown yule anaetetea muswaada wa kanisa wanaume kwa wanaume waowane