Acha kumzingua mwenzako umeona kosa mrekebishe then toa ushauri ka una siunachanganya makalio mbele kwa mbele.Hata swali umeshindwa kuliumba vizuri..!
Weka swali lako vizuri usaidiwe mkuu...daaa haya
ila nipe jibu sijawaelewa hawa
Dah pole sana mkuu ila Kama umechaguliwa first we nenda then utajua kifuatachowakuu habari zenu
nikuwa selected udism kwenye provisionally results by tcu caurse ni enviroment n geography studies na nilijaza firts round hii caurse
second round hawakuitolea majibu hii caurse
naulizi hapa inakaaje![]()
kwenye second selection ndo nikaambiwa nimekuwa provisionally selectedSwali lako halijakaa sawa. Kama ulikuwa provisionally selected-je umecheki selections za UD ambazo wametoa round 2 kama kweli umo au haumo? mengine yafuatie baada ya hapo (I hope nimekuelewa).
Kama uko karibu na Dar au una mtu wa karibu-nenda au aende admissions office, watalitatua hili. Inachukua muda mpaka TCU wapate mrejesho. Nenda na sreen shot zako. Kama uko mbali wajaribu kwa simu lakini uzoefu wangu vyuo vyetu ni vigumu kupokea simu au kujibu e-mail hasa wakati huu wa registration.kwenye second selection ndo nikaambiwa nimekuwa provisionally selected
ila first nilikosa kabisa
then wamenijibu leo asubuhi ndo provisionally selected ud course ndo hyo geograph and eviromental studies nilichagua mara yakwanza na kwemye secondround ya ud haipo hii course
hapo nakuwa na wasiwasi
Hapo sasa umeeleweka...kwenye second selection ndo nikaambiwa nimekuwa provisionally selected
ila first nilikosa kabisa
then wamenijibu leo asubuhi ndo provisionally selected ud course ndo hyo geograph and eviromental studies nilichagua mara yakwanza na kwemye secondround ya ud haipo hii course
hapo nakuwa na wasiwasi
mwanzo nilipanic bruHapo sasa umeeleweka...
Hiyo ni kawaida sana...
Imewatokea applicants wengi tu walioomba vyuo second round..!
Yaani mtu unajikuta umechaguliwa program ambayo ulitoswa first round..!
Hiyo inatokea pale chuo kinapohisi kinahitaji kuongeza idadi ya watu katika program husika,so wanachokifanya ni kupick wale walioiomba mara ya kwanza lakini wakakosa nafasi..!
Aisee wewe umepitaje kwenda chuo kikuu kwa uandishi huu. Full of mistakes in spelling some English words?wakuu habari zenu
nikuwa selected udism kwenye provisionally results by tcu caurse ni enviroment n geography studies na nilijaza firts round hii caurse
second round hawakuitolea majibu hii caurse
naulizi hapa inakaaje![]()
Moderator Invisible JamiiForumsHahaaaa sivurugwi na kijianaume kinachoshikishwa ukuta Mimi ebo, labda umezoea kuvurugwa na mijemba useme tu hapa sio kujitia chizi kumbe wewe ni zero brain