I Issah festo Member Joined Dec 13, 2014 Posts 31 Reaction score 11 Jul 27, 2016 #1 Wakubwa habari zenu. Naomba kwa mwenye kufahamu kuhusu chuo huria wanaanza kuchukua point ngapi kwa mwanafunzi anayetaka kuchukua degree ya kwanza?
Wakubwa habari zenu. Naomba kwa mwenye kufahamu kuhusu chuo huria wanaanza kuchukua point ngapi kwa mwanafunzi anayetaka kuchukua degree ya kwanza?
bajok Senior Member Joined Jun 6, 2016 Posts 161 Reaction score 72 Jul 28, 2016 #2 chuo huria ni nin???
I Issah festo Member Joined Dec 13, 2014 Posts 31 Reaction score 11 Jul 28, 2016 Thread starter #3 bajok said: chuo huria ni nin??? Click to expand... The open university
kat.ph JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 2,222 Reaction score 1,679 Jul 28, 2016 #4 Kipo chini ya TCU.... So ukikitaka unajaza kupitia TCU. Vigezo na masharti kuzingatiwa kama kawa