Chuo huria

Chuo huria

Issah festo

Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
31
Reaction score
11
Wakubwa habari zenu. Naomba kwa mwenye kufahamu kuhusu chuo huria wanaanza kuchukua point ngapi kwa mwanafunzi anayetaka kuchukua degree ya kwanza?
 
Kipo chini ya TCU.... So ukikitaka unajaza kupitia TCU. Vigezo na masharti kuzingatiwa kama kawa
 
Back
Top Bottom